Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ulimuoa au ulipiga tu mimba? Kama ulipiga tu mimba basi Kuna familia hazipo serious yani mi umzalishe dada yangu kihuni huni alafu bado tena uje usalimie mtoto wako nyumbani kwetu? Ntakutia vitasa hadi akili ikae sawa maana hayo ni matusi
Weee kwanini unaruhusu hii fedheaWakuu msaada aisee vp kwenda ukweni unatakiwa kwenda na nini? Au vizawadi gani? Wakuu naombeni msaada aisee na natakiwa nivaaje? Aisee
Nimejichanganya aiseee!!!
Yani kama na wewe bado unaishi kwa wazazi wako kipigo ntakacho kutembezea siku hiyo ukirudi kwenu wazazi wako wenyewe wanakusahau wanakuuliza we ni nani?Kama unajua ngumi utanipiga.
Lakini kama hujui hakika utajuta kwa uamuzi wako.
Nakupasua na dadaako nimemzalisha
Beba mkwanja tu wakutoshaWakuu msaada aisee vp kwenda ukweni unatakiwa kwenda na nini? Au vizawadi gani? Wakuu naombeni msaada aisee na natakiwa nivaaje? Aisee
Nimejichanganya aiseee!!!
Mama yangu mdogo ana bintiye ambaye kwa sasa ni mtu mzima sana na hajawahi kuolewa hana mtoto hata mmoja. Miaka ya ujana wa huyo binti wa mama yangu mdogo ,aliwahi kupata wachumba 2 kwa nyakati tofauti tofauti. Wakati wa kuwatambulisha hao wachumba kwa mzazi (mama), huwezi amini alikuwa anachoma nyama ya nguruwe kwa makusudi kwasababu tu aliambiwa na binti kuwa mchumba nitakayekuja kumtambulisha ni muislam.mimi ukijq hivyo nakufukuza yaani
Yani kama na wewe bado unaishi kwa wazazi wako kipigo ntakacho kutembezea siku hiyo ukirudi kwenu wazazi wako wenyewe wanakusahau wanakuuliza we ni nani?
sawaMama yangu mdogo ana bintiye ambaye kwa sasa ni mtu mzima sana na hajawahi kuolewa hana mtoto hata mmoja. Miaka ya ujana wa huyo binti wa mama yangu mdogo ,aliwahi kupata wachumba 2 kwa nyakati tofauti tofauti. Wakati wa kuwatambulisha hao wachumba kwa mzazi (mama), huwezi amini alikuwa anachoma nyama ya nguruwe kwa makusudi kwasababu tu aliambiwa na binti kuwa mchumba nitakayekuja kumtambulisha ni muislam.
Baada ya hayo bintiye hakuwahi kupata mchumba tena hadi sasa umri imesogea sana......eti mama ndio anajifanya kujutia yale aliyoyafanya wakati ule kwakuwa anaamini kwamba alikosea sana na ndio sababu bintiye haolewi.
Hawapatani hata kidogo kati ya binti na mama. Dunia Duara, Dunia tunapita
Mama yangu mdogo ana bintiye ambaye kwa sasa ni mtu mzima sana na hajawahi kuolewa hana mtoto hata mmoja. Miaka ya ujana wa huyo binti wa mama yangu mdogo ,aliwahi kupata wachumba 2 kwa nyakati tofauti tofauti. Wakati wa kuwatambulisha hao wachumba kwa mzazi (mama), huwezi amini alikuwa anachoma nyama ya nguruwe kwa makusudi kwasababu tu aliambiwa na binti kuwa mchumba nitakayekuja kumtambulisha ni muislam.
Baada ya hayo bintiye hakuwahi kupata mchumba tena hadi sasa umri imesogea sana......eti mama ndio anajifanya kujutia yale aliyoyafanya wakati ule kwakuwa anaamini kwamba alikosea sana na ndio sababu bintiye haolewi.
Hawapatani hata kidogo kati ya binti na mama. Dunia Duara, Dunia tunapita
Unamfanyia full body massage mpaka akirudi kwao wazazi wake na nduguze wadhani ametoka kukanyagwa na bull dozer😂Yani kama na wewe bado unaishi kwa wazazi wako kipigo ntakacho kutembezea siku hiyo ukirudi kwenu wazazi wako wenyewe wanakusahau wanakuuliza we ni nani?
Ukutane na mtu kama mimi nakuachia mtoto wako hapo mimi huyooo.mimi ukijq hivyo nakufukuza yaani
mh jaribuUkutane na mtu kama mimi nakuachia mtoto wako hapo mimi huyooo.
Yaani kuna nini kipya hasa hadi nianze kuletewa tantalila ukweni?
Halafu ukute huyo binti wako nimemkuta na bwawa hakujitunza hapo nyinyi ndio mnatakiwa mnishukuru kujitwisha mzigo wa watu wengi.
Sijui kwanini watu wanapaona ukweni kama sehemu so special yaani. Ni ku complicate tu mambo.
Ukilazimisha kuoa mwanamke ambaye unaona wazi wazi mzazi / wazazi wake hawakutaki ujue ndoa yako itakuwa ya taabu na misukosuko.Bora asiolowe maana hao watu waliotaka kuoa Ni mabwege Sana , Yani ushindwe kuoa kisa umechomewa nyama ya Nguruwe? Nguruwe anahusika vipi na mapenzi? Bora abaki asee
vipi na wewe uzalishe dada wa watu halafu kaka zake wakubonde makofi🤣🤣Ulimuoa au ulipiga tu mimba? Kama ulipiga tu mimba basi Kuna familia hazipo serious yani mi umzalishe dada yangu kihuni huni alafu bado tena uje usalimie mtoto wako nyumbani kwetu? Ntakutia vitasa hadi akili ikae sawa maana hayo ni matusi