Kwenda kumuangalia mtoto ukweni unatakiwa uende na nini?

Kwenda kumuangalia mtoto ukweni unatakiwa uende na nini?

Wakuu msaada aisee vp kwenda ukweni unatakiwa kwenda na nini? Au vizawadi gani? Wakuu naombeni msaada aisee na natakiwa nivaaje? Aisee

Nimejichanganya aiseee!!!
Azima bastola mazee. Unaweza kuchezea kichapo kama baba mkwe ni askari wa kufikirika
 
Kuhusu mengine sijui ila zawadi za kumuona mtoto Huwa ni
Nguo za kumkinga na barid
Sabuni za kufulia na kuogea
Mbebeo
Wipes
Kanga ,vitenge kwaajili ya mama .
Pampas km watahitaji
Poda na mafuta ya maji
 
Wakuu msaada aisee vp kwenda ukweni unatakiwa kwenda na nini? Au vizawadi gani? Wakuu naombeni msaada aisee na natakiwa nivaaje? Aisee

Nimejichanganya aiseee!!!
Peleka Dera kwa mama mkwe....
 
Vaa Raba nyeupe, suruali ya kitambaa chepesi ya njano,fulana ya Crdb ama Ccm
Kuhusu zawadi nenda na hela za kutosha ukifika wakuandikie mahitaji halafu mtume shemeji yako akanunue,wakate huohuo cheki kama nyumba yao inahitaji marekebisho ili ukiondoka uache fundi anaendelea na matengenezo
Mambo ni mengi
Utanishukuru baadae
 
Wakuu msaada aisee vp kwenda ukweni unatakiwa kwenda na nini? Au vizawadi gani? Wakuu naombeni msaada aisee na natakiwa nivaaje? Aisee

Nimejichanganya aiseee!!!
Kisungura
 
Kiukwel vijana wa saivi mnajiabisha wenyewe kama kweli una maanisha hii ni ajabu.
Hadi unafikia umri wa kuzalisha mtoto wa wawatu hujui hata Cha kuvaa ni nn?
 
Back
Top Bottom