Kwenda kumuangalia mtoto ukweni unatakiwa uende na nini?

Mama yangu mdogo ana bintiye ambaye kwa sasa ni mtu mzima sana na hajawahi kuolewa hana mtoto hata mmoja. Miaka ya ujana wa huyo binti wa mama yangu mdogo ,aliwahi kupata wachumba 2 kwa nyakati tofauti tofauti. Wakati wa kuwatambulisha hao wachumba kwa mzazi (mama), huwezi amini alikuwa anachoma nyama ya nguruwe kwa makusudi kwasababu tu aliambiwa na binti kuwa mchumba nitakayekuja kumtambulisha ni muislam.

Baada ya hayo bintiye hakuwahi kupata mchumba tena hadi sasa umri imesogea sana......eti mama ndio anajifanya kujutia yale aliyoyafanya wakati ule kwakuwa anaamini kwamba alikosea sana na ndio sababu bintiye haolewi.

Hawapatani hata kidogo kati ya binti na mama. Dunia Duara, Dunia tunapita
Kapata hasara
 
Kuna binti kaanza kutambika kwwnye makaburi ya ujombani ili walau ampate wa kumuita mume na yeye😅😅 aisee huko mbeleni nauona mtifuano kati yake na mama yake maana ndo anamshauri pumba
 
Ukutane na mtu kama mimi nakuachia mtoto wako hapo mimi huyooo.

Yaani kuna nini kipya hasa hadi nianze kuletewa tantalila ukweni?

Halafu ukute huyo binti wako nimemkuta na bwawa hakujitunza hapo nyinyi ndio mnatakiwa mnishukuru kujitwisha mzigo wa watu wengi.

Sijui kwanini watu wanapaona ukweni kama sehemu so special yaani. Ni ku complicate tu mambo.
Nakuunga mkono
 
Miguu
Wakuu msaada aisee vp kwenda ukweni unatakiwa kwenda na nini? Au vizawadi gani? Wakuu naombeni msaada aisee na natakiwa nivaaje? Aisee

Nimejichanganya aiseee!!!

Gari
Baskeli
Pikpik
Boti
 
Wakuu msaada aisee vp kwenda ukweni unatakiwa kwenda na nini? Au vizawadi gani? Wakuu naombeni msaada aisee na natakiwa nivaaje? Aisee

Nimejichanganya aiseee!!!
vaa chupi kichwani tu hakuna namna kama umejichanganya
 
Back
Top Bottom