Kwenda kwa mumeo na vitu vyote au kwenda na begi?

we Dena ww!!!..............umepotea sana mzima lakini.

Kwanza kuna ndoa siku hizi nijibebeshe mivitu siku mbili kibuti mnaanza kugombania ya nini mimi nakwenda na begi langu kikinuka natimka timu kama nasafiri vile kumbe ndo nitoleee (Wasichana ambao hamjaolewa kazi kwenu)
 

wala hata sio aged mpenzi, ni kwamba baadhi yetu wanapata pesa mingi katika umri mdogo sana let say kamaliza chuo ana 24, kabahatisha kazi inamlipa 5m kwa mwezi atashindwa nini kumiliki vitu vizuri kama nyumba,magari, maduka nk eti mpka aolewe mmh hapana, sijui lakini labda malengo ya kuoana yanatofautiana mwingine anaolewa ili apate mtu wa kumuhudumia, na mwingine anaolewa ili apte kampani,

na kabahatisha kazi ya m
 
Hapo ndio unaposikia Mungu hakupi vyote...unapokuwa na pesa sana unakuwa na narrow choice ya mume mtarajiwa...ukienda kichwa kichwa tegemea kuingia mikenge ya kina mariooo.

Ni wangapi wenye mali za kihivyo regardless of their age wameolewa na true love? Wengine wanatendwa mpaka ndoa wanaziogopa kama ukoma...ndio maana unatakiwa binti uolewe soon after kumaliza undergraduate kuepuka hivi vikwazo. Mwanaume akupenda for who you are si kwa millioni 5 zako za salary.



 
huyo mwanaume atadharaulika sana kwa mimi siwezipendezewa na hilo inabidi aje na bag tuanze kuatafuta wote kwa pamoja ninaimani hatapatiana nhata mmoja wakumunyanyasa mwenzie
 
Mke mwenza leo umenichekesha mbaya sana acha tu sala na imani ndo mpango mzima (Mie huyo jini wangu kachoka mbaya mbovu kashindwa hata kulisha familia)

Lol, lol yaani wewe hapa ndio umenivunja mbavu baada ya kurudia lile jina linawafaa sana hawa tumbili. Jioni njema, ngoja nikamtengenezee mume wetu Mr Rocky ndizi mzuzu.
 
Last edited by a moderator:
Lol, lol yaani wewe hapa ndio umenivunja mbavu baada ya kurudia lile jina linawafaa sana hawa tumbili. Jioni njema, ngoja nikamtengenezee mume wetu Mr Rocky ndizi mzuzu.


:eek2:
:eek2::eek2::eek2::eek2::eek2::eek2::eek2::eek2::eek2::eek2::eek2::eek2::eek2::eek2::A S-confused1::A S-confused1::A S-confused1::A S-confused1::A S-confused1::A S-confused1::A S-confused1::A S-confused1::A S-confused1::A S-confused1::A S-confused1::A S-confused1::A S-confused1::A S-confused1::A S-confused1::A S-confused1::A S-confused1::A S-confused1::A S-confused1::A S-confused1::A S-confused1::A S-confused1::A S-confused1::A S-confused1::A S-confused1::A S-confused1: Yummy njoo hapo mlangoni utakutana na kifuko chako cha rambo na kila kitu kilichopo ni mali yako
Ukienda nilikokuambia usigeuke nyuma kabisa Dena Amsi nakutafuta wewe
Una kesi ya kujibu hapa
 
Last edited by a moderator:
hata zingekuwa kontena mbili,tena achukue na vyote vyake pale nyumbani,si imeandikwa,atawaacha wazazi wake naye ataambatana na mumewe....!!imekaa poa tu
 
Hebu tuanzie kwako, wewe ulitinga kwa mumeo na vitu gani?
 
Lol, lol yaani wewe hapa ndio umenivunja mbavu baada ya kurudia lile jina linawafaa sana hawa tumbili. Jioni njema, ngoja nikamtengenezee mume wetu Mr Rocky ndizi mzuzu.

Mume mwenyewe anamapozi ngoja kwanza leo ale kwako kesho kwangu atajipanga sawasawa
 


Haya nimekuja Mume wangu nambie nini mbaya hapa tena dear aahhhhh
 
ahahaaa eti hii imekaaje mzee wa mia?
kama ni mimi naweza nisimuoe mwanae au nikimuoa namwambia asije na mizigo yake. Siku mama mkwe akiudhika hakawii kuja na fuso kumchukua mwanae na mizigo aliyo kuja nayo. huachiwi hata pasi. Aje tutafute wote ili tujue kutumia. mia
 
kwa upande wangu mimi sioni kama ni tatizo iwapo lengo ni kuwasaidia ili waweze kuanza maisha na sio kumfedhehesha kijana aliyeoa japo kwa mila na tamaduni zetu mwanamke huwa anaacha kila alichonacho na kwenda kwa mume na vitu vya msingi tu.
 
????????????:gossip::A S-confused1::A S-confused1::A S-confused1::A S-confused1:
 
Lol, lol yaani wewe hapa ndio umenivunja mbavu baada ya kurudia lile jina linawafaa sana hawa tumbili. Jioni njema, ngoja nikamtengenezee mume wetu Mr Rocky ndizi mzuzu.
??????:A S-confused1::A S-confused1::A S-confused1::A S-confused1::iamwithstupid::iamwithstupid::closed_2::closed_2::car::car::car::car::A S new::A S new::A S new::welcome::welcome:
 
ni tabia ya mtu binafsi, kuna dada mmoja rafiki yangu yeye siku ya sendoff alipewa kila kitu cha ndani, vitu hivyo vilitoka kwa wageni waalikwa na kamati, wazazi wake walimpa nyumba, wanaishi kwenye nyumba hiyo na kila kitu kilichomo ndani ni vile mwanamama alivyopewa kwenye harusi,mwanaume kipato chake kidogo na support yao kubwa ni kutoka kwa wazazi wa binti,yaani hata ile kaishiwa kidogo utamsikia binti anampgia mama yake amtumie pesa na bado binti anampenda mme wake tena sana tu
 

Darling Mr Rocky umenichekesha sanaaaa, nani amikwambia upitie mambo ya wakezo ya ndani???!!!si vizuri kutupekua oohooo. Kwahiyo unakubali mzee mzima Asprin aendelee kufaudu tunda kiulainiiiii bila kushea sio!
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…