??????:A S-confused1::A S-confused1::A S-confused1::A S-confused1::iamwithstupid::iamwithstupid::closed_2::closed_2::car::car::car::car::A S new::A S new::A S new::welcome::welcome:
Na kwangu usije. Baki huko huko kwa Mr Rocky. Kwa taarifa yako BADILI TABIA na cacico wako kwenye mchakato wa kunitafutia mbadala. Mwanamke hutulii. Nshakuchoka mie.
Hahahaaaa alipatwa na kidhungudhungu cha ghaflaaaaa......lol
??????:A S-confused1::A S-confused1::A S-confused1::A S-confused1::iamwithstupid::iamwithstupid::closed_2::closed_2::car::car::car::car::A S new::A S new::A S new::welcome::welcome:
Na kwangu usije. Baki huko huko kwa Mr Rocky. Kwa taarifa yako BADILI TABIA na cacico wako kwenye mchakato wa kunitafutia mbadala. Mwanamke hutulii. Nshakuchoka mie.
Haya nimekuja Mume wangu nambie nini mbaya hapa tena dear aahhhhh
Smile funga macho halafu pita fasta usichungulie hapo unaweza pata brain konkosheni na bp na shell na totalaiseee naota au?
Hehehehe.... ubaki naye hukohuko. Mie niko busy natafuta mbadala wake.
Nilikaribia kupata brain konkosheni aise
Nilikumiss my real wife
Na nakupendaje aise
Wengine wote ni cha mtoto ni wewe tuu Dena Amsi hebu kuja unipe busu la moto moto
Zamu yangu ni leo najua hilo ha ha ha Yummy aliniambia anapika ndizi mzuzu jana ulikula au ilikuwa changa la macho.........
Na kwangu usije. Baki huko huko kwa Mr Rocky. Kwa taarifa yako BADILI TABIA na cacico wako kwenye mchakato wa kunitafutia mbadala. Mwanamke hutulii. Nshakuchoka mie.
Alizipika bana
Leo karibu sana wife wangu wewe achana na babu hapo juu naona anapaparika kuachwa hajajua na cacico na BADILI TABIA wako kwa Erickb52 kwa sasa
Naandika kwa msisitizo hebu nyie wanaume wawili niambieni mnataka nini???!!!!nani amekubali kumuachia mwenzake mzigo wallaih atakae baki na huu mzigo tunakutana saa kumi na mbili robo kuhalalisha infii ya JF.
Halafu ntarudi kuwasimulia wake wenzangu hawa wafuatao yaliyojiri Kongosho(kubwa lao), BADILI TABIA(kipenzi changu hata Asprin akinitema usiwe na wasiwasi ntakuja pande zile nikusaidie kwa yule mwingine), Dena Amsi(msiri wangu hata @Mr Rock akinitema utanipatia yule muuza kashata anaekusumbua kila kukicha kuwa kanidondokea), cacico(mke mwee wa ukwee,utaendelea kuniletea viwalo vya kusumbua mitaa ya yetu ileeee)