Kwenda kwa mumeo na vitu vyote au kwenda na begi?


Ngoja nizisubirie kura zinasemaje. Na wewe pia niusikie msimamo wako. Mi sipendi vigeugeu ujue.
 
apo kwenye bold apo....

nachukua fursa hii kukujibu kwa kiinjinia zaidi na lugha za saiti....

HAPO KWENYE BOLD HAPO NI THINKING KWA KUTUMIA AKILI YA KIBARUA
 

Halalisha Asprin kashakutema na kwangu karibu kwa mikono yote na miguu yote mpaka na ule mwingine wa siri cacico na BADILI TABIA endeleeni kukaa na babu Asprin Dena Amsi hapa unajua mambo yetu na Yummy so wake zangu wawili karibuni mpaka ndani maana nyie hamna ugomvi kabisa
 
Last edited by a moderator:
Hajammwaga tuko wawili una swali lingine??? Halafu mimi ndio Mkubwa Yummy mdogo upo hapo???


hebu mwambie huyu dogo naona anaona makengeza hajui hata kusoma
Au na wewe ni mwanafunzi wa ile shule ya janja janja Erickb52 umefaulu la saba ila hata kusoma hujui Dena Amsi my wife kiss kiss
 
Last edited by a moderator:
Hahahaaaaaaaaaaaa......yeruaaaa nimechekaaaaa jamani aaahhh usubui ya leo tamu sana naona siku yangu itaisha vyema!

Una kesi ya kujibu ujue.............kisa cha kumdalilisha Mume wetu kumlinganisha na hicho kibabu kizeee ni nini??? Omba radhi kabla sijakusemea................
 
Ngoja nizisubirie kura zinasemaje. Na wewe pia niusikie msimamo wako. Mi sipendi vigeugeu ujue.
Asprin kila siku tukiwa kitandani nakwambia usiwe unatingisha kibiriti kilichojaa mpenzi,sasa sijui nani anakutia kiburi? Nani KARIA???mwambie ntamchapa!

Kumbuka ule usemi mtu mzima hatishiwi.........
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…