Kwenda kwa mumeo na vitu vyote au kwenda na begi?

welcome back smile...duh, long tyme!!mi sioni tatizo kwa kuwa ataenda kusshirikiana na mumewe maisha yake yote so si vibaya kwani kashapata mwenza huyo...
 
Asprin kila siku tukiwa kitandani nakwambia usiwe unatingisha kibiriti kilichojaa mpenzi,sasa sijui nani anakutia kiburi? Nani KARIA???mwambie ntamchapa!

Kumbuka ule usemi mtu mzima hatishiwi.........
Hapo kwenye red umeshajijibu la aziz! siogopi kuchapwa na wewe ngo! tena ukinichapa nitashangilia! Yummy nichape haraka.
 
Last edited by a moderator:
Hawako wawili Asprin in infiiii kwa hiyo hana mamlaka kama Mzee wa nyumba Mr. Rocky right???

Baelezeee hili njemba linataka kweli kutukorofisha........na akicheza ntamsemelea kwa Asprin na Mr Rocky kuwa huwa ananitongozaga kila siku na amesema atawafanyizia waote vijipu uchungu kwenye naniliu
 
Last edited by a moderator:
Hawako wawili Asprin in infiiii kwa hiyo hana mamlaka kama Mzee wa nyumba Mr. Rocky right???
Heheheeee sawa ila mi na Mamndenyi tunakagua mahusiano ili kupunguza idadi kubwa kwa mtu mmoja so ngoja aje awakague chap
 
Last edited by a moderator:
Una kesi ya kujibu ujue.............kisa cha kumdalilisha Mume wetu kumlinganisha na hicho kibabu kizeee ni nini??? Omba radhi kabla sijakusemea................

Nsameeeeee ai weeeeee usisemeee ntakuletea upande wa wax......mwaaaaaah
 
Last edited by a moderator:
welcome back smile...duh, long tyme!!mi sioni tatizo kwa kuwa ataenda kusshirikiana na mumewe maisha yake yote so si vibaya kwani kashapata mwenza huyo...
thax mkuuu....sio lazima kwenda na kila kitu bwana
 
Unamwona wife wangu cacico? Punguza wivu basi

Najua hukosei unapochagua my wife wako lakini suala la wivu wapi na wapi wakati mi wa kiumeni mzee mzima?
Ukiona nina wivu na cacico basi ujue siku za ufalme wako zinahesabika...
 
Last edited by a moderator:
Hii kitu nilishaapa kabisa siwezi kukaa nyumba ya baba au mama mkwe
Wewe hujui kuna wakwe wengine ni machizi kuna wazazi ambao wanampa mtoto wao wa kike nyumba alafu kasheshe huyo mwanaume anazopata ndani ya nyumba mh But naweza kukuambia sidhani kama huyo mwanaume au familia yake iko totally Ok with the situation
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…