Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Helo my dears
kwanza nianze na story hii
juzi nilienda kwenye kitchen party ya rafiki .wakati wa zawadi mamayake kumbe alienda china kafungasha contena lina kila kitu cha ndani kilazagazaga
vitanda,magodoro ,sofa ,majiko ,friji ,radio ,matv, taulo yaaanikila kitu ambacho kinatakiwa kiwe ndani ya nyumba ya mtu hadi kijiko
kijana aliemuoa huyo dada ni mtu wa kawaida tu kwa kweli ,hata kujenga bado
sasa najiuliza hili limekaaje wadau
hivi ni sawa kwa mwanamke ukiolewa kwenda na kila kitu kwamume au ni vizuri kwenda na begi lako la nguo tu?
Hapo kwenye red umeshajijibu la aziz! siogopi kuchapwa na wewe ngo! tena ukinichapa nitashangilia! Yummy nichape haraka.
Una kesi ya kujibu ujue.............kisa cha kumdalilisha Mume wetu kumlinganisha na hicho kibabu kizeee ni nini??? Omba radhi kabla sijakusemea................
Verse bila vitendo wapi na wapi Mwita bana.....................
Mkuu ningekuwa joka la kibisa ningeweza kumiliki vifaa vinne vikali namna hii? Nyie watu kusoma mmeshindwa hata picha zinawashinda?Kwahiyo unataka kuuthibitishia ulimwengu kwamba Asprin ni joka la kibisa, au unataka kusemaje, funguka kidogo shem wangu......
Wewe hujui kuna wakwe wengine ni machizi kuna wazazi ambao wanampa mtoto wao wa kike nyumba alafu kasheshe huyo mwanaume anazopata ndani ya nyumba mh But naweza kukuambia sidhani kama huyo mwanaume au familia yake iko totally Ok with the situation