kwenu baadhi ya watanzania vichwa panzi, Msaada kutoka kwa ndugu sio wajibu, akikusaidia ni bahati wala sio lazima, acha lawama asipokusaidia

NetMaster

JF-Expert Member
Joined
Sep 12, 2022
Posts
1,454
Reaction score
4,925
Kuna kusaidia wanafamilia hii inaeleweka inabidi ujitoe, lakini sasa kuna hawa ndugu nao huwa wanajikuta sawa na familia tena akilini mwao wanajipa hadhi ya lazima wasaidiwe,

Huwa naona kuna baadhi ya koo na makabila yani wakiona ndugu yao katoboa basi wanachofikiria ni kwamba ni lazima ndugu yao awe na jukumu la kuwasaidia hasa kiuchumi.... mbaya zaidi wakianza kusaidiwa wanaacha ama kupunguza kufanya shughuli walizofanya zamani, wanaridhika kwamba kuna msaada wa uhakika.. hata kama walikuwa wanaamka kuuza maandazi asubuhi wanaacha, mzigo wao wote wanamsukumia ndugu yao

Ikitokea ndugu hawasaidii ama anawasaidia kidogo wanalalamika sana na kumpa lawama ndugu yao kwa kila shida waipatayo..
 
Hilo ni kweli, Lakin mkuu kama uwezo wa kuwasaidia ndugu zako unao, basi WASAIDIE tu... Mungu atakuzidishia baraka!
 
Kuna kusaidia wanafamilia hii inaeleweka inabidi ujitoe lakini sasa kuna hawa ndugu nao huwa wanajikuta sawa na familia.

Huwa naona kuna baadhi ya koo na makabila yani wakiona ndugu yao katoboa basi wanachofikiria ni kwamba ni lazima ndugu yao awe na jukumu la kuwasaidia hasa kiuchumi.... mbaya zaidi wakianza kusaidiwa wanaacha ama kupunguza kufanya shughuli walizofanya zamani, wanaridhika kwamba kuna msaada wa uhakika.. hata kama walikuwa wanaamka kuuza maandazi asubuhi wanaacha, mzigo wao wote wanamsukumia ndugu yao

Ikitokea ndugu hawasaidii ama anawasaidia kidogo wanalalamika sana na kumpa lawama ndugu yao kwa kila shida waipatayo..
Nakazia
 
Ushapata kibarua unaanza nyodo,wewe umesaidiwa na wangapi mpaka kufikia hapo?.
 
Kuna kusaidia wanafamilia hii inaeleweka inabidi ujitoe, lakini sasa kuna hawa ndugu nao huwa wanajikuta sawa na familia tena akilini mwao wanajipa hadhi ya lazima wasaidiwe,

Huwa naona kuna baadhi ya koo na makabila yani wakiona ndugu yao katoboa basi wanachofikiria ni kwamba ni lazima ndugu yao awe na jukumu la kuwasaidia hasa kiuchumi.... mbaya zaidi wakianza kusaidiwa wanaacha ama kupunguza kufanya shughuli walizofanya zamani, wanaridhika kwamba kuna msaada wa uhakika.. hata kama walikuwa wanaamka kuuza maandazi asubuhi wanaacha, mzigo wao wote wanamsukumia ndugu yao

Ikitokea ndugu hawasaidii ama anawasaidia kidogo wanalalamika sana na kumpa lawama ndugu yao kwa kila shida waipatayo..
Saidia ukiwa nacho basi.
 
Utakuta ndugu wao kazi yao kupiga domo kazi hawataki,wanalegeza matako tu kwa kujua kuna vitu vya bure toka kwa ndugu yao bila kujali kuwa ndugu yao naye anafanya kazi ili apate pesa za kuwapa wao wanaotaka pesa za bure bure...))
 
Back
Top Bottom