TODAYS
JF-Expert Member
- Apr 30, 2014
- 14,747
- 24,250
Nimerudia mara kadhaa kuangalia kwa umakini tukio lilitokea kwa yule binti ambaye ni afisa usalama kwenye convoy ya Mh. Rais akimpoka kikapu shemasi wa zamu pale kanisani.
Yawezekana yule binti ni dhehebu tofauti na hajui utaratibu wa ibada wa madhehebu mengine au hata kuuliza tu japo yawezekana alipewa taarifa kufanya tukio lile.
Kwenye uhalisia wa kawaida kabisa na ikifahamika Mh. Rais atakuwa eneo fulani, huwa ni lazima security channel inafika mapema week au siku kadhaa kabla ya tukio ili kuweka mambo sawa.
Hiyo ni pamoja na kupewa na kufaham ithibati ya eneo husika kujipanga na kutake off ratiba ya tukio.
Sasa siku hiyo sijui mlikurupuka kutoka wapi au hamkujua ratiba ya kutoa sadaka ingefanyika au viongozi wa kanisa walishtukiza?.
-Sina hakika sana na hilo ila bado nasimamia titled yangu, NAPINGA TUKIO ALILOFANYA ASKALI WENU.
Kwenye kurudia namuona waziri mkuu kapitishiwa kikapu na askali wake wakifuatilia je, waziri mkuu hana nguvu kwa mustakabali wa nchi, kwamba hakidhurika haina maana yoyote?.
Je, walinzi hawakupewa taarifa ya utoaji wa sadaka na kujua kikapu gani kitatumika ili wakikague na wale mbwa wao?.