Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 24,665
- 25,388
mbona mie sioni tataizo lolote kabisa hapo, imani haba na negativity ni kitu mbaya sana aiseHilo tukio linaleta nadharia mbili.au tatu;-
1.Ibadani hasa kwenye hizi dini kubwa sio salama Kwa viongozi wakubwa was nchi!
2.Viongozi ni waovu Hadi wanahisi Kuna maadui Hadi nyumba ya ibada!mtu mwema hawezi kufikiri anaweza tegewa sumu ibadani!!!
3.Mheshimiwa Raise hayupo salama tena,yaani Hana usalama was kiimani Toka Kwa watu wanaomzunguka na watz Kwa ujumla,yaani Kuna uadui was chini chini Hadi anaishi Kwa hofu kuu!!
Nimekumbuka enzi zile aligoma kunywa juice akamnywesha mwenyeji wake!!
