Kwenu TISS, Napinga tukio alilofanya huyu askali wenu, wala siyo weledi na heshima

Ndio Dunia ilivyo haina huruma na mtu.
Dogo aliyenyang'anywa Kikapu akija kuwa mwanasiasa akiwa Mwizi tutapiga yowe.
Kumbe ameoneshewa dharau toka day one mbele ya wakuu wa Meza.
 
Askari
 
Binafsi nilijiuliza maswali mengi sana baada ya kuona ile video, ikiwemo kwanini wasingeandaa mtu wao mapema akakusanya kutokea mwanzo (viongozi wote) kukwepa ule mkanganyiko?
Wakati mwingine tukisema huo ni ujinga mkubwa kwa ulinzi wa mheshimiwa hatutakosea.

Ni kujishushia hadhi tu kuonyesha mambo ya ajabu kama hilo.
 
Hata wewe ukiwa Rais, utajua kwanini wamefanya vile... Ni taratibu tu za kawaida
Rais hajui chochote pale na hata yeye atakuwa kashangazwa japo hatuwezi kupata taarifa.

Elewa andiko, walinzi wa rais wana ratiba ya tukio lolote so, wanakuwepo eneo la tukio siku kadhaa nyuma na hata ratiba huwa wanaisimamia wao.
 
Weka kideo!!!
 
Binafsi nilijiuliza maswali mengi sana baada ya kuona ile video, ikiwemo kwanini wasingeandaa mtu wao mapema akakusanya kutokea mwanzo (viongozi wote) kukwepa ule mkanganyiko?
Zile ni mbwe mbwe tu ujue na wao wapo baas!

Kapu ni lile lile aliyebadilika ni mtu tu
 
Us
 
Hilo tukio linaleta nadharia mbili.au tatu;-

1.Ibadani hasa kwenye hizi dini kubwa sio salama Kwa viongozi wakubwa was nchi!

2.Viongozi ni waovu Hadi wanahisi Kuna maadui Hadi nyumba ya ibada!mtu mwema hawezi kufikiri anaweza tegewa sumu ibadani!!!

3.Mheshimiwa Raise hayupo salama tena,yaani Hana usalama was kiimani Toka Kwa watu wanaomzunguka na watz Kwa ujumla,yaani Kuna uadui was chini chini Hadi anaishi Kwa hofu kuu!!

Nimekumbuka enzi zile aligoma kunywa juice akamnywesha mwenyeji wake!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…