Kwenu TISS, Napinga tukio alilofanya huyu askali wenu, wala siyo weledi na heshima

Lakin kwa mtizamo wangu Askari yupo sahihi mkuu
 
Sema watu mnapenda kutafsili vibaya kwa vile amemnyang'a kiaskali
Ujaona video ya kijana umri wa miaka 16 Nchini Wale Kumjeruhi Pastor kanisani kwa kumchoma visu kwahiyo uwezi jua mtu anamawazo gani na kikapu kinaweza kuekewa sumu au kilipukizi.
Kwa mkakati ohoo
 
Kwa hiyo siku hizi Viongozi ni Bora kuliko Madhabahu?
 
Maswali ya maraia tabu sana

USSR
 
kwa wenye Imani thabiti hiyo sio ishu wala nini, ispokua wenye haba 🐒
 
Hao TISSI wenyewe hata watu wakidaiana wao ndo hutumiwa kutisha wanaodaiana???
Ati TISS kabisa anamkoromea mtu aliyekopeshana pesa na mwenzie bar naye anajitambulisha? Mm ni TISS nafanya kazi hapo MAKUMBUSHO ni mwenyeji sana pale.
Hao TISS au vibaka??
 
Issue ndogo hiyo
Tuchukue mfano huu hapa;

Mkiwa mezani na wageni wako muhimu mnataka kula, wakati mjukuu wangu anawanawisha mikono kwa beseni na jagi lenye maji kwa gafla mkeo anamnyang'anya mwanao jagi na beseni anakuja kukunawisha wewe!!.
 
Wekanvideo na sisi tuonenndio tutor maoni yetu
 
Hilo ni kosa la watu wa itifaki,kwanza TISS inatambua kabisa moja ya taasisi zenye ma agent wake wengi ni taasisi za dini hasa RC,isingewezekana yule kijana awe kaokotwa tu mtaani awe mtumikinizi meza ya VIP,aliishafanyiwa clearance tayari.

Dada pale alifanya kwa utashi wake tu.
 
Hayo ni mambo ya dunia ya tatu.
Dunia ya Giza.
Wenzao vyombo vya usalama wa Taifa wanapigania uchumi wao wako kwenye mambo ya protocol ambayo wazungu walishayaacha kitambo
Protocols zipo kila nchi. ila wenzetu hawana za kizamani tena kiasi kwamba unakuta kiongoz hapumui. Focus yao kwa sasa ni geo political na economical threats. Sisi huku wanawaza uchaguzi
 
MRUDI kanisa Katoliki wakawaambie shemasi ni nani . Shemasi gani huwa anapangwa kukusanya sadaka? Hizo ni kazi za waamini walei au shemasi gani sielewi haya makanisa jamani jamani ✝️✝️✝️✝️✝️✝️✝️✝️✝️✝️
 
Nilichoona mm, Rais alikuwa kwenye hafla ya ghafla, ambayo pengine mwaliko wake aliupata usiku usiku kwa ghafla..
ndio wangeomba ratiba nzima ya tukio ili wawe na clue kuhusu matukio yanatokea ikibid watake over wao kuliko kuchoreshana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…