mbona mie sioni tataizo lolote kabisa hapo, imani haba na negativity ni kitu mbaya sana aiseHilo tukio linaleta nadharia mbili.au tatu;-
1.Ibadani hasa kwenye hizi dini kubwa sio salama Kwa viongozi wakubwa was nchi!
2.Viongozi ni waovu Hadi wanahisi Kuna maadui Hadi nyumba ya ibada!mtu mwema hawezi kufikiri anaweza tegewa sumu ibadani!!!
3.Mheshimiwa Raise hayupo salama tena,yaani Hana usalama was kiimani Toka Kwa watu wanaomzunguka na watz Kwa ujumla,yaani Kuna uadui was chini chini Hadi anaishi Kwa hofu kuu!!
Nimekumbuka enzi zile aligoma kunywa juice akamnywesha mwenyeji wake!!
hawakujiandaa, na ni mbaya sana. mtu wa protokali hakujua kama anatakiwa kufanya hivyo, walitakiwa kuandaa mtu wao kuanzia mwimba kwaya, hadi mshika kikapu cha sadaka, ili wasilete picha mbaya. mimi ningekuwa mchungaji mtu akaja kwangu akanitawala vile ningeona bora asingekuja kabisa, kwanza sio lazima aje, aende hukohuko na mapolisi wake. hata hivyo, naamini wamejifunza na yule aliyepora kapu la sadaka ameshapewa hongera kwa mba alikuwa makini na ni mlinzi bora. ndicho alichokuwa anatafuta. ila watz wamebaki na clip yake.Binafsi nilijiuliza maswali mengi sana baada ya kuona ile video, ikiwemo kwanini wasingeandaa mtu wao mapema akakusanya kutokea mwanzo (viongozi wote) kukwepa ule mkanganyiko?
Hayo maamuzi yake .Lakini kupeleka kapu pale sio sawa lavda mwenyewe artiste au wasaidixi wakeMbona jiwe kuna wakati alichukua kikapu akawa anakusanya sadaka mwenyewe kabisa??
Mtumishi kaporwa kapuni la sadakaAposto kuna muujiza huku!
Nini kimetokea?
Labda alimsaidia kukusanya sio kumpokonya
Hapo bold kwa mujibu wa kanisa katoliki wanaitwa wasimamizi wa misa/ibada na sio shemasi.Nimerudia mara kadhaa kuangalia kwa umakini tukio lilitokea kwa yule binti ambaye ni afisa usalama kwenye convoy ya Mh. Rais akimpoka kikapu shemasi wa zamu pale kanisani.
Kapo! Angalia toka mwanzoni.Wekanvideo na sisi tuonenndio tutor maoni yetu
...Ni rahisi. Watu hawajaamua TU....Eti eeeh? Hebu jaribu ulete mrejesho.
...Ili aonekane anajua Sana..Sina nia tu[emoji41] it's very easy
Alicho nikera yule security ni kukwapua kwa nguvu utazani vitq