Kwenu Viongozi wa Umoja Party

Kutokana na kufundishwa uzalendo wa kweli na wakawa wamefaulu kweli kweli ndio maana huwezi kumpata mchina ameiibia nchi pesa na Kwenda kuziweka nchi za ng'ambo !! Ukiiba pesa za Umma wanakunyonga! Ukijihusisha na madawa ya kulevya wanakunyonga ! Investment ya kutoka nchi za nje haikatazwi mradi ufuate sheria za nchi !!
 
Magufuli hakuamini uhuni wa vyama vya upinzani lakini watu makini waliokuwa upinzani aliwateua katika nyazifa mbalimbali
Aliwateua baada ya kuhamia CCM, Kikwete kidogo ndio alimteua Mbatia kuwa mbunge japo alikuwa upinzani

Kwa Magufuli Upinzani ilikuwa ni sawa na ushetani
 
Asante kwa taarifa mkuu
 
You sound like the current broken party. You have to sound like a revolutionalist not a puppet.
Keep the energy high not low.

Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
 
Strategy ya hekima imetumika sana lakini discipline makazini bado ikawa chini. Mpaka utumie fujo ndo discipline inarudi

Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
 
Nimekuelewa. Kuwa watawapata wengi wanyonge wa akili? Kitakuwa ni chama cha wajinga.
 
Nimekuelewa. Kuwa watawapata wengi wanyonge wa akili? Kitakuwa ni chama cha wajinga.
Mungu amevichagua vinyonge na vidhaifu vya dunia hii ili adhihirishe ukuu wake.
 
You sound like the current broken party. You have to sound like a revolutionalist not a puppet.
Keep the energy high not low.

Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
Mambo ya unaharakati waachie Chadema, UP ipo kwa ajili ya kushika dola maneno na vitendo lazima yaendane na dhana ya uwajibikaji.
 
Urusi haipo kwenye nchi

Nawapongeza sana kwa kutumia haki za kikatiba kuanzisha hicho chama,ila angalieni ni flagship ipi mnaitumia Kuiingia mioyo ya wananchi,sababu ulizitoa hapo za kwamba JPM alipigania haki za watanzania huku hajajifungamanisha sana na CCM,hiyo ni sababu ya kisomi,Nina maana ni watu waliosoma kama wewe ndiyo wanaweza kutanabahisha hivyo,lakini kwa wale watanzania wakawaida ambao ndiyo wengi hawana uwezo wa kutenganisha kati ya CCM na JPM,nawatakia mafanikio mema katika kuanzisha chama ambacho kinaeeza kurudisha matumaini ya watanzania yaliyopptea.
 
Samia kama ataamua amuenzi marehemu, hamtafanya hata kikao cha sebuleni

Samia toka lini akamuenzi Jiwe? Hukusikia akiwa marekani alivyosema kuwa walikuwa hawaelewani?
 
Mungu amevichagua vinyonge na vidhaifu vya dunia hii ili adhihirishe ukuu wake.
Ujinga siyo sehemu ya utakatifu. Mungu hujivunia watu wake walio werevu na wakweli wa nafsi zao.
 
Watanzania wengi ni mazuzu. Eti wana imani na Umoja Party chama kilichoanzishwa na mwanachama wa chama cha AAAFP, na mgombea urais Zanzibar Bwana Seif Maalim Seif (jina linaendana na la hayati Maalim Seif S. Hamad).

Aisee au basi!
 
Samia toka lini akamuenzi Jiwe? Hukusikia akiwa marekani alivyosema kuwa walikuwa hawaelewani?
Pia aliwahi kusema kuwa Yeye na marehemu ni kitu kimoja. Kuna mengine bado anayaenzi. Aliuenzi ubambikiaji kesi, akampeleka Mbowe gerezani.

Anamuenzi marehemu kwa kutoruhusu vyama vya siasa kufanya mikutano.
 
Ujinga siyo sehemu ya utakatifu. Mungu hujivunia watu wake walio werevu na wakweli wa nafsi zao.
Habari za ujinga wako usizilete hapa. Mimi nimezungumza namna Mungu hutumia vitu dhaifu vya duniani.
1 Wakorintho 1:27 bali Mungu aliyachagua mambo mapumbavu ya dunia awaaibishe wenye hekima; tena Mungu alivichagua vitu dhaifu vya dunia ili aviaibishe vyenye nguvu;
Hili jawabu langu la mwisho kwako sipendi kujinasibisha na wapumbavu
 
Angalizo zuri naimani viongozi watalifanyia kazi. Tuwaombee kheri michakato ya usajili ikamilike salama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…