Kwenu wachambuzi wa Mashariki ya Kati ( Iran, Israel na Marekani)

neno ni upanga

JF-Expert Member
Joined
Jun 28, 2022
Posts
727
Reaction score
2,421
Nimefuatilia Chambuzi nyingi hapa Tanzania, zinaegemea Iran na kuilaumu marekani kwa kitendo chake cha kuivamia Iran kuwa ni uchokozi pamoja na ubabe! Swali lenu wachambuzi

1: Mbona hamuongelei mauaji yanayofanywa na magaidi duniani wenye msimamo mkali wa kidini huko nigeria, Lebanon, huthi kule Yemeni, Gaza na makundi mengine yanayofadhiliwa na utawala wa iran?? Au anachokifanya Iran ni sawa kuendelea kufadhili makundi hayo kifedha?

2: Kwanini Trump anaiandama Iran tu sio mataifa mengine ya kiarabu?

3: Kwanini mataifa mengine ya Kiarabu kama kweli Iran inaonewa hayasupport iran?

Maoni yangu! Utawala wa Iran umeua watu wengi kupitia vikundi vya Kigaidi kwa kuvifadhili, anachokifanya Trump ni kuiokoa dunia dhidi ya vikundi vya kigaidi, tuache malalamiko, Iran anapaswa kuheshimu Iman za wengine na utu wa wengine!

Nampongeza Donald Trump kwa uthubutu japo tutaumia lakini hamna namna tumechoka na ugaidi duniani, pale Nigeria kila siku wakristo wanauawa kama wanyama kisa dini ya Alla, hili halikubaliki!

Namuombea Trump Mungu ampe hekima na nguvu za kulimaliza hili tatizo, iwe kwa mazungumzo au vita au chochote kikubwa ugaidi utokomeshwe na kuutokomesha ugaidi ni kumtokomesha mfadhili mkuu!!
 
Huyu anaonekana haelewi chochooote kuhusiana na siasa za kimataifa, tunashindwa kufahamu tuanzie wapi ili aelewe na kibaya zaidi tayari ameshaamua kuchaga upande wa kushabikia,
🤔
Tatizo la wengi ni kuiweka hii vita kwenye upande wa kidini zaidi hawafati hata mfano wa papa anachokipambania
 
Okay

1. Hao uliowaita magaidi wamekuwepo kutokana na siasa za USA za kuingilia uhuru wa kila mahali katika hii Dunia.

2. USA na Israel wanaiandama Iran kwakuwa ndio taifa pekee middle East linalotishia ukubwa wa USA na uwepo wa Israel. Kabla ya kuwa tishio Iran ilikuwa rafiki mkubwa wa marekani kuliko hata alivyo Israel kwa sasa.

3. Mataifa yote hayo ya Kiarabu tayari yanaongozwa na vibaraka wa USA na Israel wataanzaje kumsupport Iran mkuu?

Mwisho,
Hivi USA na Israel kama wao wanamiliki Nyuklia kwanini hawataki Iran kumiliki Nyuklia? Na kuna mataifa yanayoongoza kwa mauaji na machafufuko ndani ya hii Dunia kumzidi Israel na Marekani?
Usikubali kulishwa taarifa shirikisha ubongo wako mkuu mbona mambo yako wazi ukiweka pembeni ushabiki?
 
Kuna sehemu nimeona janja mmoja shabiki wa Trump kachukua kipande cha taarifa ya kiingereza inayosema meli ya China imepita mlango bahari wa hormuz bila kujali vikwazo vya Marekani akilini mwake akiwaza kwamba Marekani wamezuia ile meli isipite.
 
Okay,
1. Hao uliowaita magaidi wamekuwepo kutokana na siasa za USA za kuingilia uhuru wa kila mahali katika hii Dunia.

2. USA na Israel wanaiandama Iran kwakuwa ndio taifa pekee middle East linalotishia ukubwa wa USA na uwepo wa Israel. Kabla ya kuwa tishio Iran ilikuwa rafiki mkubwa wa marekani kuliko hata alivyo Israel kwa sasa.

3. Mataifa yote hayo ya Kiarabu tayari yanaongozwa na vibaraka wa USA na Israel wataanzaje kumsupport Iran mkuu?

Mwisho,
Hivi USA na Israel kama wao wanamiliki Nyuklia kwanini hawataki Iran kumiliki Nyuklia? Na kuna mataifa yanayoongoza kwa mauaji na machafufuko ndani ya hii Dunia kumzidi Israel na Marekani?
Usikubali kulishwa taarifa shirikisha ubongo wako mkuu mbona mambo yako wazi ukiweka pembeni ushabiki?
Mimi nina swali mkuu naomba nijibiwe kwa ustarabu tu nataka kufahamu. Je ni kweli uongozi huu wa Iran umewahi kutushia kuifuta Israel kwenye uso wa dunia au ni propaganda za magharib?
 
Iran mshenzi laZima achakazwe
Anafadhili magaidi, Dikteta, anatesa raia,

Juzi kafunga straight of Hormuz
laZima hili jinga Iran lichakazwe, tufute ugaidi duniani
 
Nimefuatilia Chambuzi nyingi hapa Tanzania, zinaegemea Iran na kuilaumu marekani kwa kitendo chake cha kuivamia Iran kuwa ni uchokozi pamoja na ubabe! Swali lenu wachambuzi

1: Mbona hamuongelei mauaji yanayofanywa na magaidi duniani wenye msimamo mkali wa kidini huko nigeria, Lebanon, huthi kule Yemeni, Gaza na makundi mengine yanayofadhiliwa na utawala wa iran?? Au anachokifanya Iran ni sawa kuendelea kufadhili makundi hayo kifedha?

2: Kwanini Trump anaiandama Iran tu sio mataifa mengine ya kiarabu?

3: Kwanini mataifa mengine ya Kiarabu kama kweli Iran inaonewa hayasupport iran?

Maoni yangu! Utawala wa Iran umeua watu wengi kupitia vikundi vya Kigaidi kwa kuvifadhili, anachokifanya Trump ni kuiokoa dunia dhidi ya vikundi vya kigaidi, tuache malalamiko, Iran anapaswa kuheshimu Iman za wengine na utu wa wengine!

Nampongeza Donald Trump kwa uthubutu japo tutaumia lakini hamna namna tumechoka na ugaidi duniani, pale Nigeria kila siku wakristo wanauawa kama wanyama kisa dini ya Alla, hili halikubaliki!

Namuombea Trump Mungu ampe hekima na nguvu za kulimaliza hili tatizo, iwe kwa mazungumzo au vita au chochote kikubwa ugaidi utokomeshwe na kuutokomesha ugaidi ni kumtokomesha mfadhili mkuu!!
Huna akili
 
Mimi nina swali mkuu naomba nijibiwe kwa ustarabu tu nataka kufahamu. Je ni kweli uongozi huu wa Iran umewahi kutushia kuifuta Israel kwenye uso wa dunia au ni propaganda za magharib?
Okay vizuri Mkuu,
1. Kwanza uongozi huu wa Iran hauitambui Israel kama Taifa huo ndio msimamo wao, wanatambua kuwa ni ardhi ya Palestine iliyokaliwa kwa nguvu.

2. Iran haijawahi na wanatamka wazi hawatanzisha vita kamwe ila hawata vumilia uonevu wa aina yeyote ile.
So ukisikia hivyo inawezekana ila na hadi pale Israel wanapoanza uchokozi.
Hao wote wanaoshabikia Israel na USA na kuwaita Iran magaidi tuwaulize wanakumbuka ni mwaka gani Iran iliwahi kusnzisha vita popote pale.

Katika hii Dunia GAIDI ni USA na Israel.
 
Iran wanatumia Njia gani kuhakikisha Israel kama Taifa wanaachia lile eneo?

Au wao hawana shida, Israel waendelee kukalia tuu.

Anyway tusipoteze muda
Ni nani anasupport Hamas, hezbollah na Houthi kwa mafunzo na silaha.?
 
Okay vizuri Mkuu,
1. Kwanza uongozi huu wa Iran hauitambui Israel kama Taifa huo ndio msimamo wao, wanatambua kuwa ni ardhi ya Palestine iliyokaliwa kwa nguvu.

2. Iran haijawahi na wanatamka wazi hawatanzisha vita kamwe ila hawata vumilia uonevu wa aina yeyote ile.
So ukisikia hivyo inawezekana ila na hadi pale Israel wanapoanza uchokozi.
Hao wote wanaoshabikia Israel na USA na kuwaita Iran magaidi tuwaulize wanakumbuka ni mwaka gani Iran iliwahi kusnzisha vita popote pale.

Katika hii Dunia GAIDI ni USA na Israel.
Asante sana mkuu kwa jibu lako zuri, swali lingine. Je ni kweli uongozi huu wa Iran huwa una slogani yao ambayo inasema kifo kwa Israel, kifo kwa Amerca au ni propaganda tu za magharibi?
 
Mbona hamuongelei mauaji yanayofanywa na magaidi duniani wenye msimamo mkali wa kidini huko nigeria, Lebanon, huthi kule Yemeni, Gaza na makundi mengine yanayofadhiliwa na utawala wa iran?? Au anachokifanya Iran ni sawa kuendelea kufadhili makundi hayo kifedha?
Mbona Marekani nae anafadhili Taifa la kigaidi Israeli.
 
Nina swali mkuu naomba nijibiwe kistarabu. Je ni kweli kuwa Hamas walivamia Israel oct 7 na kufanya mauaji ya haliki kwa raia ikiwemo kuwabaka mbele ya jamii zao?
Na mimi nina maswali mkuu!
Ni kweli Marekani alitupa bomu la Nuklia kule Japan Yiroshima na Nagasaki na kuuwa viumbe visivyo na hatia??
Swali la pili :Ni kweli Marekani aliuwa maelfu ya watu kule Iraq mwaka 2003 kwa kuwasingizia kuwa wana silaha za maangamizi wakati ilikuwa ni uongo!???
Naomba majibu yawe ya kistaarabu pia mkuu.
 
Back
Top Bottom