beberu la mtaa
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 682
- 1,666
😁😁😁😁,Iran wanatumia Njia gani kuhakikisha Israel kama Taifa wanaachia lile eneo?
Au wao hawana shida, Israel waendelee kukalia tuu.
Anyway tusipoteze muda
Ni nani anasupport Hamas, hezbollah na Houthi kwa mafunzo na silaha.?
Kwakua umeona tusipoteze muda kuhusu Israel sawa lakini kabla sijajibu swali kuhusu Hmmas na Hezbollah niongee kuhusu Israel na Iran,
Iran yeye hatambui uwepo wa Taifa la Israel lakini kinacholeta mzozo kwa Iran dhidi ya Israel ni uonevu wa Israel kwa mataifa jirani hasa Palestine na hili hata sasa Israel na Turkey wanatupiana maneno kuhusina na hili yani licha ameshapora ardhi ya watu lakini bado anawaandama na kujitanua kila siku kupitia sera yao ya Expansionism,
Kuhisu Iran kuwa support Hammas na Hezbollah nikweli Lakini nilishalisema kuwa hili linatokana na USA pamoja na Israel kutaka kuingilia siasa za Dunia nzima kwahiyo Iran hakubali anaforce na yeye ili kuweka ushawishi wake ndani ya nchi husika,
Thank you for your attention to this matter 😁