neno ni upanga
JF-Expert Member
- Jun 28, 2022
- 727
- 2,421
Huyu anaonekana haelewi chochooote kuhusiana na siasa za kimataifa, tunashindwa kufahamu tuanzie wapi ili aelewe na kibaya zaidi tayari ameshaamua kuchaga upande wa kushabikia,Mada nyingine zinaweza kumsababishia tu mtu njaa kama aliwahi mapema kupata chakula cha mchana.
Tatizo la wengi ni kuiweka hii vita kwenye upande wa kidini zaidi hawafati hata mfano wa papa anachokipambaniaHuyu anaonekana haelewi chochooote kuhusiana na siasa za kimataifa, tunashindwa kufahamu tuanzie wapi ili aelewe na kibaya zaidi tayari ameshaamua kuchaga upande wa kushabikia,
🤔
Kuna sehemu nimeona janja mmoja shabiki wa Trump kachukua kipande cha taarifa ya kiingereza inayosema meli ya China imepita mlango bahari wa hormuz bila kujali vikwazo vya Marekani akilini mwake akiwaza kwamba Marekani wamezuia ile meli isipite.Tatizo la wengi ni kuiweka hii vita kwenye upande wa kidini zaidi hawafati hata mfano wa papa anachokipambania
Mimi nina swali mkuu naomba nijibiwe kwa ustarabu tu nataka kufahamu. Je ni kweli uongozi huu wa Iran umewahi kutushia kuifuta Israel kwenye uso wa dunia au ni propaganda za magharib?Okay,
1. Hao uliowaita magaidi wamekuwepo kutokana na siasa za USA za kuingilia uhuru wa kila mahali katika hii Dunia.
2. USA na Israel wanaiandama Iran kwakuwa ndio taifa pekee middle East linalotishia ukubwa wa USA na uwepo wa Israel. Kabla ya kuwa tishio Iran ilikuwa rafiki mkubwa wa marekani kuliko hata alivyo Israel kwa sasa.
3. Mataifa yote hayo ya Kiarabu tayari yanaongozwa na vibaraka wa USA na Israel wataanzaje kumsupport Iran mkuu?
Mwisho,
Hivi USA na Israel kama wao wanamiliki Nyuklia kwanini hawataki Iran kumiliki Nyuklia? Na kuna mataifa yanayoongoza kwa mauaji na machafufuko ndani ya hii Dunia kumzidi Israel na Marekani?
Usikubali kulishwa taarifa shirikisha ubongo wako mkuu mbona mambo yako wazi ukiweka pembeni ushabiki?
Huna akiliNimefuatilia Chambuzi nyingi hapa Tanzania, zinaegemea Iran na kuilaumu marekani kwa kitendo chake cha kuivamia Iran kuwa ni uchokozi pamoja na ubabe! Swali lenu wachambuzi
1: Mbona hamuongelei mauaji yanayofanywa na magaidi duniani wenye msimamo mkali wa kidini huko nigeria, Lebanon, huthi kule Yemeni, Gaza na makundi mengine yanayofadhiliwa na utawala wa iran?? Au anachokifanya Iran ni sawa kuendelea kufadhili makundi hayo kifedha?
2: Kwanini Trump anaiandama Iran tu sio mataifa mengine ya kiarabu?
3: Kwanini mataifa mengine ya Kiarabu kama kweli Iran inaonewa hayasupport iran?
Maoni yangu! Utawala wa Iran umeua watu wengi kupitia vikundi vya Kigaidi kwa kuvifadhili, anachokifanya Trump ni kuiokoa dunia dhidi ya vikundi vya kigaidi, tuache malalamiko, Iran anapaswa kuheshimu Iman za wengine na utu wa wengine!
Nampongeza Donald Trump kwa uthubutu japo tutaumia lakini hamna namna tumechoka na ugaidi duniani, pale Nigeria kila siku wakristo wanauawa kama wanyama kisa dini ya Alla, hili halikubaliki!
Namuombea Trump Mungu ampe hekima na nguvu za kulimaliza hili tatizo, iwe kwa mazungumzo au vita au chochote kikubwa ugaidi utokomeshwe na kuutokomesha ugaidi ni kumtokomesha mfadhili mkuu!!
Okay vizuri Mkuu,Mimi nina swali mkuu naomba nijibiwe kwa ustarabu tu nataka kufahamu. Je ni kweli uongozi huu wa Iran umewahi kutushia kuifuta Israel kwenye uso wa dunia au ni propaganda za magharib?
Iran wanatumia Njia gani kuhakikisha Israel kama Taifa wanaachia lile eneo?Okay vizuri Mkuu,
1. Kwanza uongozi huu wa Iran hauitambui Israel kama Taifa huo ndio msimamo wao, wanatambua kuwa ni ardhi ya Palestine iliyokaliwa kwa nguvu.
2. Iran haijawahi na wanatamka wazi hawatanzisha vita kamwe ila hawata vumilia uonevu wa aina yeyote ile.
So ukisikia hivyo inawezekana ila na hadi pale Israel wanapoanza uchokozi.
Hao wote wanaoshabikia Israel na USA na kuwaita Iran magaidi tuwaulize wanakumbuka ni mwaka gani Iran iliwahi kusnzisha vita popote pale.
Katika hii Dunia GAIDI ni USA na Israel.
Asante sana mkuu kwa jibu lako zuri, swali lingine. Je ni kweli uongozi huu wa Iran huwa una slogani yao ambayo inasema kifo kwa Israel, kifo kwa Amerca au ni propaganda tu za magharibi?Okay vizuri Mkuu,
1. Kwanza uongozi huu wa Iran hauitambui Israel kama Taifa huo ndio msimamo wao, wanatambua kuwa ni ardhi ya Palestine iliyokaliwa kwa nguvu.
2. Iran haijawahi na wanatamka wazi hawatanzisha vita kamwe ila hawata vumilia uonevu wa aina yeyote ile.
So ukisikia hivyo inawezekana ila na hadi pale Israel wanapoanza uchokozi.
Hao wote wanaoshabikia Israel na USA na kuwaita Iran magaidi tuwaulize wanakumbuka ni mwaka gani Iran iliwahi kusnzisha vita popote pale.
Katika hii Dunia GAIDI ni USA na Israel.
Papa anapendwa lakini Kitima!!!!!!??????Jibu rahisi kwako. Kwa mtazamo wako magaidi ni waislam. Wakati mkuu wako papa ameweka wazi msimamo wake ashautowa
Mbona Marekani nae anafadhili Taifa la kigaidi Israeli.Mbona hamuongelei mauaji yanayofanywa na magaidi duniani wenye msimamo mkali wa kidini huko nigeria, Lebanon, huthi kule Yemeni, Gaza na makundi mengine yanayofadhiliwa na utawala wa iran?? Au anachokifanya Iran ni sawa kuendelea kufadhili makundi hayo kifedha?
Nina swali mkuu naomba nijibiwe kistarabu. Je ni kweli kuwa Hamas walivamia Israel oct 7 na kufanya mauaji ya haliki kwa raia ikiwemo kuwabaka mbele ya jamii zao?Yule aliyeuwa Wapelestina 720000 sio gaidi mtoa mada???
Na mimi nina maswali mkuu!Nina swali mkuu naomba nijibiwe kistarabu. Je ni kweli kuwa Hamas walivamia Israel oct 7 na kufanya mauaji ya haliki kwa raia ikiwemo kuwabaka mbele ya jamii zao?