Kwenu wachambuzi wa Mashariki ya Kati ( Iran, Israel na Marekani)

Iran wanatumia Njia gani kuhakikisha Israel kama Taifa wanaachia lile eneo?

Au wao hawana shida, Israel waendelee kukalia tuu.

Anyway tusipoteze muda
Ni nani anasupport Hamas, hezbollah na Houthi kwa mafunzo na silaha.?
😁😁😁😁,
Kwakua umeona tusipoteze muda kuhusu Israel sawa lakini kabla sijajibu swali kuhusu Hmmas na Hezbollah niongee kuhusu Israel na Iran,
Iran yeye hatambui uwepo wa Taifa la Israel lakini kinacholeta mzozo kwa Iran dhidi ya Israel ni uonevu wa Israel kwa mataifa jirani hasa Palestine na hili hata sasa Israel na Turkey wanatupiana maneno kuhusina na hili yani licha ameshapora ardhi ya watu lakini bado anawaandama na kujitanua kila siku kupitia sera yao ya Expansionism,

Kuhisu Iran kuwa support Hammas na Hezbollah nikweli Lakini nilishalisema kuwa hili linatokana na USA pamoja na Israel kutaka kuingilia siasa za Dunia nzima kwahiyo Iran hakubali anaforce na yeye ili kuweka ushawishi wake ndani ya nchi husika,
Thank you for your attention to this matter 😁
 
Samahan mkuu nimeuliza swali la hamas na Israel wewe unaiza swali la Amerca, Japan na Iraq bila kunipa jibu langu. Huu ni ustarab kwel
 
Huyo unamuonea nikweli alitaka kufahamishwa haya maswali yako ninawaita wajuzi waje wwatujibu Boss,
ngara23
hamis77
City Thunder OKC
Kijakazi
Acha tuanzie na hawa
 
Samahan mkuu nimeuliza swali la hamas na Israel wewe unaiza swali la Amerca, Japan na Iraq bila kunipa jibu langu. Huu ni ustarab kwel
Mkuu ukijibu hayo mwaswali yangu utakuwa umepata jibu ni nani hasa ni gaidi hii Dunia !!
Na utaacha kutusumbua huku jukwaani ..
 
Nilimsikia Trump analalama ya kua Saraha walizopeleka wakurdi ili wazitumie kufanya vurugu na hata kuupindua utawala wa irani zimepotea kusiko kusiko Julikana, pia waziri mkuu wa Israel akkili wazi yakua ndo mfadhili kundi la hamasi na uthibitisho wa malipo yalofanywa na serikali ya Netanyahu,
Je hili kwako halitoshi kukufanya uujue ukweli?
 
Wakati mwingine jaribu kuanzisha mada zinazofanana na uwezo wako kifikra.
Samahani lakini.
 
hata kama Israel angekuwa hawaonei wapalestina na hiyo sera yake ya kujitanua.
Bado Iran hawezi kuacha kutumia hvyo vikundi kumsurubu Israel.
Kwasababu lengo la Iran si kuwasaidia wapalestina.
Bali ni kuwa supper power hapo middle east.
Palestinians wanatumika tΓΉu kama sababu ya juu juu ila chini kila upande una malengo yake.
 
Uzuri umeshasema ni maoni yako.Ukienda kiimaani zaidi utajikuta umeshachukua upande ambao si ajabu ni ule ambao hauna haki.Laki kiimani baada ya hivi vita, ile ya siku 12 na ya sasa utagundua hapo hakuna dini ya ukristo, uislam au uyahudi.Hapa zaidi ni swala la kutafuta maslahi na kufanya uporaji kwa kusingizia mambo au matukio na si ajabu mengine ni ya kutengenezwa ili kuhalalisha uporaji.
Wapo wachambuzi ambao wanachukua upande lakini kuna wale wanaochambua kwa haki. YUpo dada mmoja anaitwa Rachel Robin ambaye anaonekana kwenye Robin TV,youtube.Yeye anachambua kwa haki na mara kwa mara uchambuzi wake hauanzii kwenye tukio hilo tu, bali anachambua zaidi mpaka historia za jamii au nchi zinazotofautiana mpaka zilipofikishana hapo,na baada ya uchambuzi huu,utaona kabisa nani mbabe au nani anaonewa. Wapo wengine kama Ibrahim Rahby,yeye anachambua haki na hamung'unyi maneno kwa pande zozote zinazojihusha na mzozo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…