4 7mbatizaji
JF-Expert Member
- Dec 8, 2019
- 8,406
- 9,619
Wakuu JF amani ya Bwana ikawe juu yenu kila mmoja kwa imani yenu ,popote mlipo ,niwatakie kheli ya mwaka mpya popote mlipo.
Husika na mada tajwa hapo juu.
Kuleni pesa ikitokea mtu kajipendekeza kwenu na vijisenti vyake ila kumbuka mmetumwa na wanachama ambao wamewapa dhamana kubwa ya kiuongozi maana sio kweli kila mwanachama atakua kiongozi ndani ya Chadema.
Sasa kama sie ndo tuliowachagua , ole wenu msilete hitaji la Umma na mbadala wake bakini huko , iwe ni Dodoma au Dar ,ni lazima sikiliza sie wenye chama nini tunataka maana sie ndo maboss wenu kama wananchi na wanachama wenzenu.
Kama mjumbe ukiona ipo pesa inajichanganya tafuna iyo maana ni kodi yako ila jua cha kufanya kwenye sanduku la kura ,hushikiwi mtutu wa bunduki kwa hilo wakuu.
Ni matumaini yangu kama mlichaguliwa na watu makini basi pia nanyi ni watu makini.
Hii chama ipo na gharama nyingi za watu msilete mchezo ,mkileta mchezo mtatafunwa na laana hii vizazi na vizazi vyenu .
Hichi chama kwa sasa ni cha umma, sio cha Mbowe ,lissu, Mnyika, MMM, Boni yai, Yeriko ,Nyerere n.k ,bali ni cha umma ,so anae dhani bado yupo na fikra potofu juu ya chama hichi nani mmiliki ,akae pembeni , tutabanana humu humu.
Mungu awatangulie wajumbe ,na ilishakua