Pre GE2025 Kwenu wajumbe wa Mkutano Mkuu CHADEMA kwa uchaguzi ndani ya chama , ole wenu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Wakuu JF amani ya Bwana ikawe juu yenu kila mmoja kwa imani yenu ,popote mlipo ,niwatakie kheli ya mwaka mpya popote mlipo.

Husika na mada tajwa hapo juu.

Kuleni pesa ikitokea mtu kajipendekeza kwenu na vijisenti vyake ila kumbuka mmetumwa na wanachama ambao wamewapa dhamana kubwa ya kiuongozi maana sio kweli kila mwanachama atakua kiongozi ndani ya Chadema.

Sasa kama sie ndo tuliowachagua , ole wenu msilete hitaji la Umma na mbadala wake bakini huko , iwe ni Dodoma au Dar ,ni lazima sikiliza sie wenye chama nini tunataka maana sie ndo maboss wenu kama wananchi na wanachama wenzenu.

Kama mjumbe ukiona ipo pesa inajichanganya tafuna iyo maana ni kodi yako ila jua cha kufanya kwenye sanduku la kura ,hushikiwi mtutu wa bunduki kwa hilo wakuu.

Ni matumaini yangu kama mlichaguliwa na watu makini basi pia nanyi ni watu makini.

Hii chama ipo na gharama nyingi za watu msilete mchezo ,mkileta mchezo mtatafunwa na laana hii vizazi na vizazi vyenu .

Hichi chama kwa sasa ni cha umma, sio cha Mbowe ,lissu, Mnyika, MMM, Boni yai, Yeriko ,Nyerere n.k ,bali ni cha umma ,so anae dhani bado yupo na fikra potofu juu ya chama hichi nani mmiliki ,akae pembeni , tutabanana humu humu.

Mungu awatangulie wajumbe ,na ilishakua

AMINA. Bandiko murua kabisa!
 
Mrithi wa Kinana kupatikana Januari 2025,Jumapili, Desemba 29, 2024.
Na Mbowe hakuna mridhi wa kiti chake.
 
Wakuu JF amani ya Bwana ikawe juu yenu kila mmoja kwa imani yenu ,popote mlipo ,niwatakie kheli ya mwaka mpya popote mlipo.

Husika na mada tajwa hapo juu.

Kuleni pesa ikitokea mtu kajipendekeza kwenu na vijisenti vyake ila kumbuka mmetumwa na wanachama ambao wamewapa dhamana kubwa ya kiuongozi maana sio kweli kila mwanachama atakua kiongozi ndani ya Chadema.

Sasa kama sie ndo tuliowachagua , ole wenu msilete hitaji la Umma na mbadala wake bakini huko , iwe ni Dodoma au Dar ,ni lazima sikiliza sie wenye chama nini tunataka maana sie ndo maboss wenu kama wananchi na wanachama wenzenu.

Kama mjumbe ukiona ipo pesa inajichanganya tafuna iyo maana ni kodi yako ila jua cha kufanya kwenye sanduku la kura ,hushikiwi mtutu wa bunduki kwa hilo wakuu.

Ni matumaini yangu kama mlichaguliwa na watu makini basi pia nanyi ni watu makini.

Hii chama ipo na gharama nyingi za watu msilete mchezo ,mkileta mchezo mtatafunwa na laana hii vizazi na vizazi vyenu .

Hichi chama kwa sasa ni cha umma, sio cha Mbowe ,lissu, Mnyika, MMM, Boni yai, Yeriko ,Nyerere n.k ,bali ni cha umma ,so anae dhani bado yupo na fikra potofu juu ya chama hichi nani mmiliki ,akae pembeni , tutabanana humu humu.

Mungu awatangulie wajumbe ,na ilishakua
Mtumishi unahalalisha watu kupokea RUSHWA?

Hujui kuwa RUSHWA ni adui wa HAKI?

Umesahau kuwa RUSHWA hupofusha ufahamu?

Ukila RUSHWA ya mtu, akili hubadilika automatically na kuanza kuhisi una deni naye bila hata Yeye kukwambia atakacho.

Nenda kachunguze mahusiano ya offer ya chips Kwa wanafunzi na mimba za utotoni.

Kataa RUSHWA. Usihalalishe RUSHWA, mtoaji na mpokeaji wote Wana hatia mbele ya Sheria.

Ni hayo tu.
 
Mwana wa Mungu rushwa haikuanza leo ,hata Yesu alisalitiwa kwa rushwa ,ila kama uyo ambae alimsaliti yesu angeliweka kibindoni kile alipewa na kuamua kuwa upande wa Yesu ,wenda leo angekua mtu muhim katika maandiko matakatifu.

Naichukia rushwa ,sipendi rushwa , ila kama nchi ndo tuliko , ila wajumbe wanao wajibu wa kufanya wasije kuwa kama msaliti wa Yesu , historia itawaandika na laana juu ya vizazi vyao. Zikiletwa wale tu na wala wasidhubutu weka katika kibubu , maana iyo ni laana
 
Wakataze wasipokee Wala kula,

Wakifanya hivyo akili zitabadilika na kuamua vinginevyo isivyo HAKI.

Baadae utarudi hapa kulalama.

Mkeo Kwa Mfano, waeza mruhusu ahongwe ilhali tu abaki kwenye uaminifu wake ndani ya NDOA?

Ikiwa huwezi mruhusu mkeo kuhongwa, kataa pia wajumbe wasipokee RUSHWA,

Waeleze athari za kupokea RUSHWA.
 
Kama Bado Mnataka kuendelea kuwa Pazia la Majani Basi Mbakisheni MR ZERO
Nawaeleza kweli
Majani Furaha yao Ni MR DJ kuendelea kuwepo Hapo.
Lakini mkimchagua Cha Ufipi (Mbilikimo)
Mtawapa Majani Jasho kubwa
Hatuko kwenye andiko hili chafua mtu, Mbowe bado ni hitaji la chama na lissu pia ,so hakuna haja yakumshambulia Mbowe au lissu ,

Ikumbukwe nipo team lissu na wala simchukii Mbowe kwangu mie wote wangu ,ila hitaji la wananchi kwa sasa ni lissu period , sasa wajumbe wasipo sikiliza wenye chama ambao wala hatupigi kura ila tumewachagua wanarudi kwetu fanya nini wabaki huko ,pumbavu(pumbavu sio tusi)

Nimewahi sema John Heche alitakiwa chukua form ya uwenyekiti ili lissu na Mbowe wote wapigwe chini , na ikitokea akachukua ,nakua team John Heche .

Ikumbukwe silipwi, na sihitaji kulipwa ,hii ni kazi ya kitume naitekeleza pamoja na ubangaizaji wangu .

Lissu apewe chama na akizingua tunamuondoa mapema sana .
Wakataze wasipokee Wala kula,

Wakifanya hivyo akili zitabadilika na kuamua vinginevyo isivyo HAKI.

Baadae utarudi hapa kulalama.

Mkeo Kwa Mfano, waeza mruhusu ahongwe ilhali tu abaki kwenye uaminifu wake ndani ya NDOA?

Ikiwa huwezi mruhusu mkeo kuhongwa, kataa pia wajumbe wasipokee RUSHWA,

Waeleze athari za kupokea RUSHWA.
Wale tu maana ndo mfumo , ila wajue cha kufanya
 
Hawezi , Mbowe kwa sasa analala na viatu mpaka nimeona post kwamba angeenda kwa Mwamposa .je mwamposa ni nani ? Kamuguse
yule kwa sasa, mzee wa upako yuko wapi? Hamjui Dunia
Sijui Kwa nini naona Mbowe anashinda kinyang'anyiro
 
Wakataze wasipokee Wala kula,

Wakifanya hivyo akili zitabadilika na kuamua vinginevyo isivyo HAKI.

Baadae utarudi hapa kulalama.

Mkeo Kwa Mfano, waeza mruhusu ahongwe ilhali tu abaki kwenye uaminifu wake ndani ya NDOA?

Ikiwa huwezi mruhusu mkeo kuhongwa, kataa pia wajumbe wasipokee RUSHWA,

Waeleze athari za kupokea RUSHWA.
Ndugu ukiendesha gari upo na macho mawili tu ,mie ninayo manne ,tueshimiane
 
Nakuheshimu sana,

Ndio maana nakukemea kuhalalisha RUSHWA Kwa kuwashawishi wajumbe kupokea RUSHWA.
Mkuu rushwa ipo sio tz tu, na sio enzi hizi tu ,tangu kipindi cha mwana wa Mungu Yesu,

Nimesema wajumbe wakikutana na vijisenti kutoka kwa wapenda rushwa wale tu ,ila wasiweke kwenye kibubu cha familia zao maana wataipata laana ya vizazi mpaka vizazi, so wapi nimebariki rushwa mkuu?
 
Sasa wakila hizo RUSHWA bila kupeleka nyumbani ndio hatia itawaondoka?

Lini Yesu aliruhusu wafuasi wake kupokea RUSHWA?

Muungwana umekosea, kubali kuchutama.
 
Yesu alijua kiroho na sio katika mwili wa nyama, na ndo maana alitamka kwamba

Utanikana kabla ya jogoo kuwika, kama ndivyo nani wenye roho ya ndani kama Yesu, ukiondoa wabangaizaji wa injili?
 
Wajumbe tuleteeni mh Lissu.Kwa hali ya siasa ilivyo hapa Tz huyo mwamba apewe nafasi tuone atatufikisha wapi.Soft politics hazina nafasi kwa sasa
TOFAUTI YA LISSU NA MBOWE

Wote ni wazungumzaji na wajenzi mahiri wa hoja, na wote wana mvuto na ushawishi kwa umma, lakini wawili hawa, wana tofauti kuu tatu za msingi zinazopaswa kuzingatiwa:

1. Mhe Lissu ni msemaji zaidi wakati Mhe Mbowe ni msemaji na ni mtendaji pia. Wakati Watanzania wa kawaida wanamjua tu Lissu wa kwenye mikutano ya hadhara, Lissu mgombea urais na Lissu wa kwenye Clubhouse na Twitter, wana Chadema wanaokijua vizuri Chama chao, wanamjua zaidi Mbowe kama mpishi wa ubunifu, mbinu na mikakati ya Chama, mtafutaji mkuu wa fedha na vifaa vya uendeshaji Chama, mwalimu wa siasa na kiunganishi kikuu cha timu nzima ya Chadema. Kwa hali ya Chadema ilivyo, na kwa hali ya siasa ngumu za Upinzani zilivyo, bado Chadema inapaswa na inahitaji kuongozwa na Mwenyekiti Mtendaji zaidi kuliko Mwenyekiti Msemaji tu. Hii ni kwasababu usemaji pekee hautoshi kuendesha Chama kikubwa kama Chadema.

2. Mhe Lissu amethibitisha kwa kauli na vitendo kuwa hajali sana kuhusu uwajibikaji wa pamoja (collective responsibility), kwani mara nyingi ametoka nje ya Chama na kujaribu kukosoa au kuyapinga maamuzi ya Chama aliyoshiriki kuyapitisha kwenye vikao vya Kamati Kuu pamoja na wenzake, na wakati mwingine, Mhe Lissu amekwenda mbali zaidi na kuanza kuwabagaza wenzake huko mitandaoni. Kwa upande wake, Mhe Mbowe si tu amekuwa makini katika kuheshimu uwajibikaji wa pamoja, bali pia mara zote, amehimiza na kulinda sana heshima na haiba za viongozi wenzake pamoja na taswira ya Chama chenyewe. Kwa hali ya siasa za upinzani zilivyo, Chadema bado inamuhitaji zaidi Mhe Mbowe mwenye uwezo wa kuunganisha umoja na mshikamano wa Chama, anayethamini mawazo na heshima ya kila mmoja, na anayetambua kuwa ni hatari sana kujenga umaarufu binafsi kwa mtindo wa kubomoa heshima na umoja wa Chama.

3. Mhe Lissu anaonekana kuamini zaidi katika kutoa matamko makali na maandamano (radical politics), lakini bila kuzingatia kuwa Watanzania si jamii inayoweza kuitika kwa urahisi kwenye aina hiyo ya siasa kama Wakenya, na hasa ukizingatia aina ya Dola iliyopo, na tena akisahau jinsi yeye mwenyewe alivyolazimika kukimbia nchi 2020 ili kuokoa maisha yake katika wakati ambapo haikuwezekana kabisa kwa Yeye kama Mgombea Urais, kuitisha au kushiriki maandamano ya kupinga uporaji wa kura uliofanyika 2020. Mhe Mbowe kwa upande wake, anaonekana kuamini katika flexibile politics, ya kufanya siasa za aina zote (yaani siasa za kushinikiza haki na demokrasia kwa kutumia nguvu ya umma, pamoja na siasa za mazungumzo), kutegemea na hali halisi ya nchi na wananchi. Kwa hali ilivyo, Chadema chini ya Lissu inaweza kukata tamaa haraka sana pindi maandamano anayoyatarajia yakifeli, lakini Chadema chini ya Mbowe bado inaonekana kuwa na mikakati na mbinu nyingi zaidi za kuimarisha Chama na kupigania haki na demokrasia ya kweli, na ambayo hatimaye, inaweza kukiingiza madarakani Chama hiki kikuu cha upinzani.

Hitimisho

Kwa falsafa ya soccer, Mhe Mbowe ni mfano wa Attacking Midfilder, yaani anaweza kufunga magoli na hapo hapo anaweza kutengeneza nafasi nyingi zaidi za kufunga kwaajili ya timu nzima (Mbowe ni full package, ndiye engine na driver wa team, yupo kwenye vile viwango vya Zinedine Zidane), wakati Mhe Lissu ni mfano wa Striker ambaye ufungaji wake unategemea zaidi kazi za midfielders (unaweza kumkumbuka Joseph Guede ukitaka). Ingekuwa bora zaidi kama kila mmoja angetambua vema nafasi ya mwenzake, lakini kwa kuwa wote wameamua kutunishiana misuli katika uchaguzi huu basi hakuna namna. Twende na yule anayeweza kutupatia vitu vingi zaidi uwanjani kwasasa. Twende na Mhe Mbowe.
 
Sasa wakila hizo RUSHWA bila kupeleka nyumbani ndio hatia itawaondoka?

Lini Yesu aliruhusu wafuasi wake kupokea RUSHWA?

Muungwana umekosea, kubali kuchutama.
Laana ya Mungu inalitafuna hili taaifa ,kwa sababu tumekua wara rushwa wakubwa, na mbaya sana zatutoa ufaham.

Jiulize nani nchi hii amezikwa na pesa,magari , au kila kitu cha dhamani kaburin kwake ?

Mzee mwinyi aliondoka na nini kaburin kwakwe, mzee Nyerere je, mzee mkapa je, Maghufuli Je ,achana na viongozi wadogowago mfano Ndugulile , maisha ya dunia yasiwatie kiburi ,tuheshimiane
 
Back
Top Bottom