Pre GE2025 Kwenu wajumbe wa Mkutano Mkuu CHADEMA kwa uchaguzi ndani ya chama , ole wenu

Pre GE2025 Kwenu wajumbe wa Mkutano Mkuu CHADEMA kwa uchaguzi ndani ya chama , ole wenu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Hawezi , Mbowe kwa sasa analala na viatu mpaka nimeona post kwamba angeenda kwa Mwamposa .je mwamposa ni nani ? Kamuguse
yule kwa sasa, mzee wa upako yuko wapi? Hamjui Dunia
Shida CCM watatoa sapoti Kwa Mbowe
 
Shida CCM watatoa sapoti Kwa Mbowe
Huko sawa mkuu nami najiuliza hawa wameanza kua lini na mpezi na chadema?
Ijulikane kwamba , iwe lisuu au Mbowe sie kama wanachama tuta mgoa tu utokeapo ujinga wa namna hii, so iwe lissu katumwa au Mbowe katumwa tutamwondoa.

Sie sio akina dr slaa, Maria sarungi,au Diapora, sie wananchi huru ,Maria sarungi ,Diaspora kaeni kitako.
Dr slaa kaa kitako,hii ngoma ya chadema tuachieni ,by the way dr slaa ulisha kimbia mapambano ,watakua watu jinga sna wakwaminio ,mzee kaa kimiya ya chadema hayakuhusu ,pumbavu
 
Wakuu JF amani ya Bwana ikawe juu yenu kila mmoja kwa imani yenu ,popote mlipo ,niwatakie kheli ya mwaka mpya popote mlipo.

Husika na mada tajwa hapo juu.

Kuleni pesa ikitokea mtu kajipendekeza kwenu na vijisenti vyake ila kumbuka mmetumwa na wanachama ambao wamewapa dhamana kubwa ya kiuongozi maana sio kweli kila mwanachama atakua kiongozi ndani ya Chadema.

Sasa kama sie ndo tuliowachagua , ole wenu msilete hitaji la Umma na mbadala wake bakini huko , iwe ni Dodoma au Dar ,ni lazima sikiliza sie wenye chama nini tunataka maana sie ndo maboss wenu kama wananchi na wanachama wenzenu.

Kama mjumbe ukiona ipo pesa inajichanganya tafuna iyo maana ni kodi yako ila jua cha kufanya kwenye sanduku la kura ,hushikiwi mtutu wa bunduki kwa hilo wakuu.

Ni matumaini yangu kama mlichaguliwa na watu makini basi pia nanyi ni watu makini.

Hii chama ipo na gharama nyingi za watu msilete mchezo ,mkileta mchezo mtatafunwa na laana hii vizazi na vizazi vyenu .

Hichi chama kwa sasa ni cha umma, sio cha Mbowe ,lissu, Mnyika, MMM, Boni yai, Yeriko ,Nyerere n.k ,bali ni cha umma ,so anae dhani bado yupo na fikra potofu juu ya chama hichi nani mmiliki ,akae pembeni , tutabanana humu humu.

Mungu awatangulie wajumbe ,na ilishakua
Umewapa ushauri makini kweli kweli na wenye hekima, ambao si wote, wamekuelewa. Chadema lazima ipate uongozi mpya vinginevyo itakosa babisa ukubali kwa wanachama na wapenzi wake wengi ambao wanaelewa kuwa mabadiliko ya kimfumo ni lazima, ili Chadema kukidhi video vya kuchukua dola.
Wajumbe wakiendekeza uchawa uchwara, wasijemlaumu mtu.
 
Wajumbe wa Mkutano Mkuu..ninyi hampendi
i. Sera ya ugatuzi wa madaraka na fedha majimboni?
Ii.Sera ya kuwepo kwa UKOMO wa Viongozi na Viti Maalum?
iii. Sera ya udhibiti wa fedha za chama kwa kuingia kwenye Account ya Chama na c mifukoni mwa watu?..KAZI KWENU
 
Sijui Kwa nini naona Mbowe anashinda kinyang'anyiro
Yoyote anaweza kushinda lakini pia they could be playing the game to get big publicity/public attention ukashangaa mtu anajiengua kumuachia mwenzie, lolote linawezekana kwani hakuna mwanasiasa asiye na 'ingredients' za utapeli/uongo kiaina katika kusukuma agendas zake.
They're one and the same, kuwaamini inabidi uwe 'duslo' somehow.
 
Mwana wa Mungu rushwa haikuanza leo ,hata Yesu alisalitiwa kwa rushwa ,ila kama uyo ambae alimsaliti yesu angeliweka kibindoni kile alipewa na kuamua kuwa upande wa Yesu ,wenda leo angekua mtu muhim katika maandiko matakatifu.

Naichukia rushwa ,sipendi rushwa , ila kama nchi ndo tuliko , ila wajumbe wanao wajibu wa kufanya wasije kuwa kama msaliti wa Yesu , historia itawaandika na laana juu ya vizazi vyao. Zikiletwa wale tu na wala wasidhubutu weka katika kibubu , maana iyo ni laana
Je wakiamua kumchagua Mbowe kwa kumuamini tu bila ya kupokea rushwa au inawezekana wakawa hawamuamini ila Lissu ndiyo ikawa hawamuamini zaidi kwa kushuku ni nini hasa dhamira yake kwamba labda ametumwa kukiua chama jumlajumla?(you can never trust politicians)
Wahenga walinenena "zimwi likujualo halikuli likakwisha"
Sisi watu tunaoliangalia sakata hili tukiwa na ground ni vigumu kuelewa nini hasa watu wa ndani wanayoyafahamu kuhusu hao wagombea, I wish uchaguzi uwe open na atakayepigiwa kura nyingi ndiyo atangazwe na atakayeshindwa atoe support kwa mshindi ili waendelee kulisukima gurudumu kwa pamoja.
NB: Lissu ana mashabiki wengi mtaani naamini akishinda wapenda siasa(opposition supporters) watarudisha morari upya bila kujali uwezo wake na busara zake kiongozi.
 
Huko sawa mkuu nami najiuliza hawa wameanza kua lini na mpezi na chadema?
Ijulikane kwamba , iwe lisuu au Mbowe sie kama wanachama tuta mgoa tu utokeapo ujinga wa namna hii, so iwe lissu katumwa au Mbowe katumwa tutamwondoa.

Sie sio akina dr slaa, Maria sarungi,au Diapora, sie wananchi huru ,Maria sarungi ,Diaspora kaeni kitako.
Dr slaa kaa kitako,hii ngoma ya chadema tuachieni ,by the way dr slaa ulisha kimbia mapambano ,watakua watu jinga sna wakwaminio ,mzee kaa kimiya ya chadema hayakuhusu ,pumbavu
Slaa ni takataka isiyopaswa kusikilizwa hata tone, yeye na Msigwa they're in the same category.
 
Je wakiamua kumchagua Mbowe kwa kumuamini tu bila ya kupokea rushwa au inawezekana wakawa hawamuamini ila Lissu ndiyo ikawa hawamuamini zaidi kwa kushuku ni nini hasa dhamira yake kwamba labda ametumwa kukiua chama jumlajumla?(you can never trust politicians)
Wahenga walinenena "zimwi likujualo halikuli likakwisha"
Sisi watu tunaoliangalia sakata hili tukiwa na ground ni vigumu kuelewa nini hasa watu wa ndani wanayoyafahamu kuhusu hao wagombea, I wish uchaguzi uwe open na atakayepigiwa kura nyingi ndiyo atangazwe na atakayeshindwa atoe support kwa mshindi ili waendelee kulisukima gurudumu kwa pamoja.
NB: Lissu ana mashabiki wengi mtaani naamini akishinda wapenda siasa(opposition supporters) watarudisha morari upya bila kujali uwezo wake na busara zake kiongozi.
Acha utoto mkuu, taasis ,mwenyekiti yupo pale kusimamia sera, ambazo hupitia michakato mbali mbali ndani ya chama , ndo maana zipo kamati mbali mbali ndani ya chama.

Kwamba ukishakua mwenyekiti basi utafanya upendavyo, iyo hakuna vinginevyo utafungasha voroba vyako mapema.

Kama katiba za nchi zipo na sheria ya kumvulumisha Rais madarakani ,iweje mwenyekiti wa chama.

Hizi ni hofu potofu
 
Back
Top Bottom