Kwenu Wanaume mnaopigwa na wake zenu. Hii ni fedheha mnajiabisha

Japo sio rahisi kusema lkn wapo wanaume wengi sana wanopokea kipigo kutoka Kwa wake zao.

Kwa macho yangu shangazi yangu alikuwa anakung'uta vilivyo mmewe.

Siku akiliazisha Hadi alikuwa anakimbia na kwenda kujificha kabisa.

Kuna mama mwingine alikuwa muuza gongo (pombe) akasikia fununu Kwa walevi kuwa mmewe ana Mla kimasiahara msimbe mmoja (single mother/mwanamke aliyeachika Kwa mmewe).

Basi muda sio mrefu jamaa akawa amefika hapo kijiweni alipokea kipondo hadharani na akadharaulika sana hapo kijijini.

Shangazi yeye alijua ufalme ni wake siku zote kumbe kadiri anavyozeeka na nguvu Zina muisha.

Siku Tena alilianzisha akijua ndo zilezile zama zake kumbe zama zimebadirika kitambo.

Jamaa alimpiga kama Ngoma huku akiji mwambafai kuwa nilikuwa nimekuangalia tu Kwa kipindi kirefu sana😂😂

Hadi naleta kisa hiki kwenye Saba Saba tu hii Tena jamaa kapokea
Mkong'oto wa maana mbele yetu.

Huku akituomba msaada kuwa tumsaidie maana Hali ni mbaya kama amepigwa Hivi kitaa vipi akifika kwakwe yamkini atapigwa kama dufu.

Japo inachekesha ama kufurahisha lkn ni aibu na fedheha kubwa Kwa mwanaume kupigwa na mke wako!

Kwakweli thamani Yako inakosekana kabisa asee.

Umewahi ona mwanaume anapigwa na mke wake?
Ndio maana huwa sidate na mifantom, wewe unakuta kijana mwembambaa ila anadem makalio hayoooo na mwili huo, hapo utachomoka vipi sasa maana akikulalia tu huna ujanja.
 
Sio mke tu ,demu mmoja nilikua nae yaani huitaji bouncer.
Iilipeleka mkono siku naona live vidume vi3 vinapigwa km ngoma.
Yaani ilikua akikufumania kipondo kinaanza kwa bartender,barmaid,meza,viti vinapata tabu.
Akigeuka akuvae mzee ushaanza na kijiji long time haupo..
Hapo unatafuta kambi ya ukimbizi popote kwenye nchi yako.
 
Mkuu kurudisha heshima ilipaswa achangiwe na wanaume hata wa5.
 
Ila mkuu Kuna wanawake wanapiga hujawahi one asee
Unapigwaje na mwanamke?Huna mbinu kabisa na akili za ziada?Mwanaume kupigwa na mwanamke ni zaidi ya kuwa mateka maishani.Kwa akili ya kawaida,unapaswa kumjua unayetaka kumuoa/kuwa na uhusiano naye pale tu unapomuona kwa mara ya kwanza. Umzidi hadi akili na kila kitu.
 
Ni sawa usemavyo lakini kwenye mkong'oto unapigwa tu
Unapigwaje na mwanamke?Huna mbinu kabisa na akili za ziada?Mwanaume kupigwa na mwanamke ni zaidi ya kuwa mateka maishani.Kwa akili ya kawaida,unapaswa kumjua unayetaka kumuoa/kuwa na uhusiano naye pale tu unapomuona kwa mara ya kwanza. Umzidi hadi akili na kila kitu.
 
Japo sio rahisi kusema lkn wapo wanaume wengi sana wanopokea kipigo kutoka Kwa wake zao.

Kwa macho yangu shangazi yangu alikuwa anakung'uta vilivyo mmewe.

Siku akiliazisha Hadi alikuwa anakimbia na kwenda kujificha kabisa.

Kuna mama mwingine alikuwa muuza gongo (pombe) akasikia fununu Kwa walevi kuwa mmewe ana Mla kimasiahara msimbe mmoja (single mother/mwanamke aliyeachika Kwa mmewe).

Basi muda sio mrefu jamaa akawa amefika hapo kijiweni alipokea kipondo hadharani na akadharaulika sana hapo kijijini.

Shangazi yeye alijua ufalme ni wake siku zote kumbe kadiri anavyozeeka na nguvu Zina muisha.

Siku Tena alilianzisha akijua ndo zilezile zama zake kumbe zama zimebadirika kitambo.

Jamaa alimpiga kama Ngoma huku akiji mwambafai kuwa nilikuwa nimekuangalia tu Kwa kipindi kirefu sana😂😂

Hadi naleta kisa hiki kwenye Saba Saba tu hii Tena jamaa kapokea
Mkong'oto wa maana mbele yetu.

Huku akituomba msaada kuwa tumsaidie maana Hali ni mbaya kama amepigwa Hivi kitaa vipi akifika kwakwe yamkini atapigwa kama dufu.

Japo inachekesha ama kufurahisha lkn ni aibu na fedheha kubwa Kwa mwanaume kupigwa na mke wako!

Kwakweli thamani Yako inakosekana kabisa asee.

Umewahi ona mwanaume anapigwa na mke wake?
Anayepigwa na mke anajitakia mwenyewe shubamiti!
Wapo, ila hao siyo wanaume kabisa, wamulikwe, waorodheshwe tuwapeleke jando kabisa😡😡😡😡😡
 
Kwa visa nilivyosema nimeona Kwa macho yangu! Wengine wananzidi umri mfano wa yule shangazi. Lkn wengine Bado vijana na wanapigika Hadi nakuwa najiuliza kama wewe inawezekana vipi mwanamke anipige halafu mbele ya wanaume wezangu!?
Kwa umri huu yalishapita hayo.Hakuna mwanamke (awe mke au mpenzi)wa kuweza kunidunda.Atakula mfueni mpaka aimbe haleluya!Kuna mambo ya utani lakini siyo mwanamke kuthubutu kuniinulia mkono wake.
 
Anayepigwa na mke anajitakia mwenyewe shubamiti!
Wapo, ila hao siyo wanaume kabisa, wamulikwe, waorodheshwe tuwapeleke jando kabisa😡😡😡😡😡
Watengenezewe wodi kabisa kama sober houses.Ni kushindwa kujisimamia kimamlaka.Sasa wakishapigwa sijui wanasemaje?Nisamehe dada?Sirudii tena mke wangu?Au nihurumie mama Wakuru?
 
Back
Top Bottom