Nikifa MkeWangu Asiolewe
JF-Expert Member
- Feb 26, 2024
- 6,944
- 14,351
- Thread starter
- #41
Wameshindwa kumuoa wa hayati Tena saivi Ma-rais wote wa3 wameacha wake zao waoeni basi kama mpo serious😂Ukifa mkeo ataolewa tu,
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wameshindwa kumuoa wa hayati Tena saivi Ma-rais wote wa3 wameacha wake zao waoeni basi kama mpo serious😂Ukifa mkeo ataolewa tu,
Kamuulize Graca Matchel huko alipo.Ni muda tu.Wameshindwa kumuoa wa hayati Tena saivi Ma-rais wote wa3 wameacha wake zao waoeni basi kama mpo serious😂
Mbona wake wa Marais wetu Hadi Leo hamjawaoa? 😂😂Majamaa yatafika msibani na kujidai yanampa pole ya mikono huku wanamtekenya kiganjani na kumkonyeza kimtindo.Ndiyo atajua mkate wa marehemu unavyomegwa.
Kamuulize Graca Matchel huko alipo.Ni muda tu.
Kalagha baho.Mengine hadi uandikiwe?Mbona wake wa Marais wetu Hadi Leo hamjawaoa? 😂😂
Hakuna wanaume bongo hii
Kivyovyte utakavoita. 😆😆Watengenezewe wodi kabisa kama sober houses.Ni kushindwa kujisimamia kimamlaka.Sasa wakishapigwa sijui wanasemaje?Nisamehe dada?Sirudii tena mke wangu?Au nihurumie mama Wakuru?
Kivipi? Wewe unajua wameolewa wale?Kalagha baho.Mengine hadi uandikiwe?
Hao wapuuzi inatakiwa hata wakienda kushtaki kwa mtendaji,mwenyekiti au dawati wapigwe viboko vingi sana vya shingoni.Wameshindwa kutafuta wa saizi yao wanaowamudu?Basi ni akili mdebwedo.Kivyovyte utakavoita. 😆😆
Utulie. Mambo ya watu wazima tuyajadili humu kweli?Tutakuwa tumepea utovu wa adabu.Kivipi? Wewe unajua wameolewa wale?
Hata Mimi ni mtu mzima Nina Kila haki ya kuchunga koloni langu.Utulie. Mambo ya watu wazima tuyajadili humu kweli?Tutakuwa tumepea utovu wa adabu.
Hao wapuuzi inatakiwa hata wakienda kushtaki kwa mtendaji,mwenyekiti au dawati wapigwe viboko vingi sana vya shingoni.Wameshindwa kutafuta wa saizi yao wanaowamudu?Basi ni akili mdebwedo.
Japo sio rahisi kusema lkn wapo wanaume wengi sana wanopokea kipigo kutoka Kwa wake zao.
Kwa macho yangu shangazi yangu alikuwa anakung'uta vilivyo mmewe.
Siku akiliazisha Hadi alikuwa anakimbia na kwenda kujificha kabisa.
Kuna mama mwingine alikuwa muuza gongo (pombe) akasikia fununu Kwa walevi kuwa mmewe ana Mla kimasiahara msimbe mmoja (single mother/mwanamke aliyeachika Kwa mmewe).
Basi muda sio mrefu jamaa akawa amefika hapo kijiweni alipokea kipondo hadharani na akadharaulika sana hapo kijijini.
Shangazi yeye alijua ufalme ni wake siku zote kumbe kadiri anavyozeeka na nguvu Zina muisha.
Siku Tena alilianzisha akijua ndo zilezile zama zake kumbe zama zimebadirika kitambo.
Jamaa alimpiga kama Ngoma huku akiji mwambafai kuwa nilikuwa nimekuangalia tu Kwa kipindi kirefu sana😂😂
Hadi naleta kisa hiki kwenye Saba Saba tu hii Tena jamaa kapokea
Mkong'oto wa maana mbele yetu.
Huku akituomba msaada kuwa tumsaidie maana Hali ni mbaya kama amepigwa Hivi kitaa vipi akifika kwakwe yamkini atapigwa kama dufu.
Japo inachekesha ama kufurahisha lkn ni aibu na fedheha kubwa Kwa mwanaume kupigwa na mke wako!
Kwakweli thamani Yako inakosekana kabisa asee.
Umewahi ona mwanaume anapigwa na mke wake?
View attachment 3047636
Hakika mtawapata wa kufanana nao🤣🤣
Inaniuma sana mkuu....
Shauri yako.Mimi siyo mbegu zenu mbilikimo zilizofubaa.Na hata hivyo,kupigwa na mwanamke ni uzwazwa uliopea uhalisia.Kwa nini upigwe?Usikalili utakuja kukalishwa.