Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa hapo ndo mnapokoseaWake zetu wanatushauri tuchukue watoto ili kupunguza mawasiliano na mama zao
Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Nazani behind the scene kuna sababu nyingi tu zilizopelekea pia mwanaume kumchukua mtoto ambazo huenda ni siri yake.Kweli ana ubinafsi lakini mtoto angeachwa kwa mama yake
Mimi Sija limit kwenye Account yangu anaweza akaangalia baadhi ya thread nilizozianzisha zitamsaidia kupata utulivu wa akili na atapona kabisa. Vipi uko poa My Adorable Sister?Hivi wewe mbona uko obsessed sana na whatever I post here?
Hivi huwa unasomaga kweli kinachoandikwa ? Hii ni story ya kweli inayohusu family flani na sio story yangu kama unavyolazimiza.
Uko stressed sana tafuta dawa ya tatizo lako kabla haijawa too late. Kwanza mhaya gani huna maisha?
Manyanza huyu vipi ?? Hebu mpatie nasaha za namna ya ku behave kiume.
Hii ni mental case I can't handle.
Unafikiri tunapenda?Side chick hazalishwi
Hapo Tan House?Nko poa
Ila nko home kwenu
Tutaendelea kukojoa kwani Miso bei gani?Na nyie muache pia sio kukojoa hovyo hovyo
Wanawake waache kuzaa na waume za watu
Sema kuna pisi unakutana nazo hadi mtu unapata mawazo ya kujizima data 🤣 🤣
Never ever,siwezi kufanya upumbavu huu ,wamama wanafanya hivi hawajitambuiNi vizuri ila kuna wale wamama wa hovyo anakubali mwanae akalelewe na mama wa kambo ili yeye aendelee kula ujana.
[emoji23][emoji23][emoji23]Halafu libaba lake liko smart hatarii lilishindwa kupeleka mwanae salon hata kunyoa au ndo alimuogopa mkewe? Shule gan huyu dogo anasoma na hizi nywele??
Na Mungu alivyo fundi katoto kanafanana na babake kuliko wale wa ndoa.
Wapo na tunawashuhudia wengi, wanaendekeza starehe kuliko malezi ya watotoNever ever,siwezi kufanya upumbavu huu ,wamama wanafanya hivi hawajitambui