Neuro
JF-Expert Member
- May 13, 2017
- 1,551
- 1,721
Sijasema tuwayanyase watoto madam, kamwe sitalikubali. Ila jua mtu aliyekuwa tayari kutoka nje ya ndoa yake, hajali chochote kile nikama msukule. Sasa wewe ambaye unakuwa upo na mawazo yenye akili bado unamfuata msukule ilihali ukiolewa hutaki mume wako afanye hayo. Huoni kuwa unajivisha uwendawazimu kwakujitakia maana mwenzako kashajiita mwendawazimu. Sasa ukiumia utamlaumu mwendawazimu😂😂😂Yeah muongezewe tu watoto mpasuke kabisa. Unanyanyasaje mtoto under 6?