Kwenu Wanaume mnaozaa na michepuko

Wanaume hawakosi visingizio kuridhisha wake zao
Hata kama, ingekuwa wamekubaliana Mwanaume hashindwi kulea na kutoa matunzo.

Huyo itakuwa alimtegea, lakini ikitokea tumekubaliana nitaanza kulea kuanzia mimba hadi kulipia ada za Shule nzuri kwaajili ya kesho ya mtoto/watoto wetu. Muhimu nyumba ndogo itimize wajibu wake tu na kujua kula na kipofu 🏃🏃
 
Halafu libaba lake liko smart hatarii lilishindwa kupeleka mwanae salon hata kunyoa au ndo alimuogopa mkewe? Shule gan huyu dogo anasoma na hizi nywele??
Na Mungu alivyo fundi katoto kanafanana na babake kuliko wale wa ndoa.
Watoto wa nje wanafanana sana na baba zao.
 
2016 uko fomu nyoyaa daaaah.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wachane hao
Ifike pahala na wao wajue kujilinda na kujali maisha ya sasa na ya baadae.
Huwezi kutegea upande mmoja ilhali kila mtu ana interests zake. Istoshe sisi kama wanadamu tunategemeana, no one is perfect. Tukubali tu kubebeana majukumu.
 
Endeleeni kumlaumu mwanamke huku vizazi vyenu vinateseka na kuwaachia laana.



Imeandikwa: “laana isiyo na sababu haimpati mtu”

Halafu laana gani sasa hapo ya mtoto kumlaani mzazi?

Ulisikia wapi?

Isipokuwa Imeandikwa: Enyi wazazi msiwachokoze watoto wenu”

Lakini hili hapa sio mahala pake!
 
Mwanume na Mwanamke Nani anaamua kuzaa jibu ni Mwanamke so wanawake ndo wawe makini kuacha kuzaa na wanaume wa watu simple , then unashindwaje kumuhudumia mtoto mmoja ?? Maisha ni Magumu yes why uzae bila au ushike Mimba bila kutafakari maana wanaume katika Swala la ngono wao siku zote hawakui kihisia
 
Nakadori,Nakadori,Nakadori nakwita mara 3[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Pole sana
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…