Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
Linaepukika lakini maji yakishamwagika hayazoleki, ujana una mengi mkuu ndio chanzo cha yote.Ni kweli ni changamoto. What if linaepukika? What if usizae nje at first place?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Linaepukika lakini maji yakishamwagika hayazoleki, ujana una mengi mkuu ndio chanzo cha yote.Ni kweli ni changamoto. What if linaepukika? What if usizae nje at first place?
Kosa liko pande zote
Msikojolee ndaniii
We una akili mkuuNachakata mbususu lakini kuzaa nje nilishakataa. Nimechagua kuzaa na kichaa mmoja watoto wote,wengine nachakata mbususu tuu wakafie mbele.
Kuchakata hatukatai,ila kuzaa nje ndo hatutakiNachakata mbususu lakini kuzaa nje nilishakataa. Nimechagua kuzaa na kichaa mmoja watoto wote,wengine nachakata mbususu tuu wakafie mbele.
Hata kama, ingekuwa wamekubaliana Mwanaume hashindwi kulea na kutoa matunzo.Wanaume hawakosi visingizio kuridhisha wake zao
Watoto wa nje wanafanana sana na baba zao.Halafu libaba lake liko smart hatarii lilishindwa kupeleka mwanae salon hata kunyoa au ndo alimuogopa mkewe? Shule gan huyu dogo anasoma na hizi nywele??
Na Mungu alivyo fundi katoto kanafanana na babake kuliko wale wa ndoa.
2016 uko fomu nyoyaa daaaah.No mzee alikufa 2016 nikiwa form 1 mke wa ndoa alichukua mali zote wapo Nairobi sasaivi
Lkn maza angu alikuwa na uwezo pamoja na bibi ndo wamenilea mm mpaka hapa nilipo chuo
Namshukuru Mungu kwa hilo asee sijui njaa ni nn na sijasoma govt ni private tu
Nachukulia picha kama bibi na maza wangekuwa makapuku duu sijui ingekuwaje [emoji848][emoji848]
Hao si binadamuKwa hiyo uendelee kuua watoto utawakuta mbinguni wanakulilia baba babaa
Endeleeni kumlaumu mwanamke huku vizazi vyenu vinateseka na kuwaachia laana.Kalenda ya uzazi Mungu kaiweka kwa mwanamke,
Mwanamke anapaswa kuujua mwili wake na kuchukua tahadhari zote ikiwemo mimba zisizotarajiwa.
Ifike pahala na wao wajue kujilinda na kujali maisha ya sasa na ya baadae.Wachane hao
Endeleeni kumlaumu mwanamke huku vizazi vyenu vinateseka na kuwaachia laana.
Nakadori,Nakadori,Nakadori nakwita mara 3[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Waungwana na wasio waungwana nawasalimu.
Ninaandika haya nikiwa na masikitiko mengi sana...
Niko kwenye tukio moja la kifamilia ambapo imelazimu watoto wote wa mji husika kuwepo.
Ni tukio kubwa kiasi kwamba hata sisi tusio ndugu tumeshiriki.
Nimeumia kuona katoto ka nje ambako kwa makadirio kalizaliwa wakati baba mwenye mji akiwa tayari ndani ya ndoa kakiwa kwenye mazingira ya uchafu kuanzia mwili hadi mavazi. Mwili umesheheni mapunye ambayo inaonekana kabisa yamekuwa hapo kwa muda mrefu bila huduma. Nywele hazijanyolewa ni kama yule kiumbe wa Gods must be crazy.... nimeumia sana.
Baba na mama wa mji huu wana uwezo mkubwa sana na watoto wengine wapo vizuri kiafya na mengineyo.
Nikawaza ukute mama wa mtoto hajui mazingira haka katoto kanayoishi kwakuwa tu baba mtoto amelazimisha aishi na mwanae kwa sababu za kibinafsi...na sasa mtoto anaishi maisha ya kunyanyapaliwa.
Lakini pia nimeumia kuona mwanamke I mean huyu mama wa kambo kuruhusu huyu mtoto kusafiri umbali mrefu na hali ya uchafu ule huku watoto wake wakiwa smart. Kwa nini ambague ? Hajui kwamba hata yeye anaweza kufa wanae wakalelewa na mama wa kambo? Hata kama amesalitiwa lakini huyu mtoto hana kosa lolote.
Wanaume kabla hamjazaa na michepuko yenu jipimeni na muwe na uhakika kama ki akili mko wazima kiasi cha kuweza kusimama na hawa watoto. Lakini pia punguzeni ubinafsi na kuwatoa hawa watoto kwa mama zao kwa kukwepa gharama za mara kwa mara atakazotaka mama mtoto. Hii ni gharama ambayo lazima muilipe kwa kupambana na matokeo ya starehe zenu.
Mje na matusi mapya
Picha haihusiani na uzi wangu
View attachment 2551083
Pole sanaWaungwana na wasio waungwana nawasalimu.

Mwanume na Mwanamke Nani anaamua kuzaa jibu ni Mwanamke so wanawake ndo wawe makini kuacha kuzaa na wanaume wa watu simple , then unashindwaje kumuhudumia mtoto mmoja ?? Maisha ni Magumu yes why uzae bila au ushike Mimba bila kutafakari maana wanaume katika Swala la ngono wao siku zote hawakui kihisia
Nakadori,Nakadori,Nakadori nakwita mara 3[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]