🤣🤣🤣🤣🤣Muhimu ni mipangilio tu, mtoto anatakiwa abaki kwa ***** huku baba akishirikiana na mama kumlea.
Baba kumtoa mtoto kwa ***** ni kosa kubwa sana; kuzaa tuendelee, kuzaa hakuna shida, muhimu ni kutoa matunzo kwa mtoto akiwa kwa mama yake.
Ni kweli lkn sisi hatukutaka kupigania mali za mzee maana kulikuwa na so much insecurities hivyo tukaamua kusepa tuPole
Sheria ya mtoto ya mwaka.2009 inamtambua mtoto wa nje ya ndoa so wa sasa hivi haki zao wanapata.
KABLA ya hapo watoto wa nje ya ndoa waliteseka sana
🤣🤣🤣🤣🤣Muhimu ni mipangilio tu, mtoto anatakiwa abaki kwa ***** huku baba akishirikiana na mama kumlea.
Baba kumtoa mtoto kwa ***** ni kosa kubwa sana; kuzaa tuendelee, kuzaa hakuna shida, muhimu ni kutoa matunzo kwa mtoto akiwa kwa mama yake.
🤣🤣🤣🤣🤣Muhimu ni mipangilio tu, mtoto anatakiwa abaki kwa ***** huku baba akishirikiana na mama kumlea.
Baba kumtoa mtoto kwa ***** ni kosa kubwa sana; kuzaa tuendelee, kuzaa hakuna shida, muhimu ni kutoa matunzo kwa mtoto akiwa kwa mama yake.
Yeah wengine wanapotezeaNi kweli lkn sisi hatukutaka kupigania mali za mzee maana kulikuwa na so much insecurities hivyo tukaamua kusepa tu
🏃🏃🏃🏃🏃 Na ilisadikika alikuwa ana tumia nguvu za 💀💀💀💀💀 pia hivyo sisi tukaachana nao baada ya msiba tu
Itategemea vyanzo vya mapato ni vipi; si halali kutegemea mapato ya ndani ya ndoa, kuja kulisha huku nje; kinachotakiwa ni busara za pande mbili (me +ke) kuamua wafanyeje katika kuekeza kwa ajili ya huo uzao, bila kuathiri upande wa ndoa.🤣🤣🤣🤣🤣
Na wasibaguliwe utoe sawa na wa ndanii
Ukishaamua kuzaa nje, lazima umuwekee na matumizi; na hii itafanikiwa kwa njia za busara.🤣🤣🤣🤣🤣
Na wasibaguliwe utoe sawa na wa ndanii
Mapato mliyotumia kula starehe yalikuwa yanatoka wapi? Halafu hao ni watoto wako so sehemu ya mapato yako iwe ya ndani ya family au nje ilimradi umetafuta wewe mwanao ana haki ya kuyatumia. Ndio maana ukifa sheria inampatia haki ya kurithi na wale wa ndoa.Itategemea vyanzo vya mapato ni vipi; si halali kutegemea mapato ya ndani ya ndoa, kuja kulisha huku nje; kinachotakiwa ni busara za pande mbili (me +ke) kuamua wafanyeje katika kuekeza kwa ajili ya huo uzao, bila kuathiri upande wa ndoa.
Lengo ni kuepusha migongano ya kifamilia; nikishazaa na wewe tayari nimetengeneza bond, muhimu hapa ni wewe na yeye kukaa chini na kuweka misingi imara bila kuathiri upande wa ndoa.Mapato mliyotumia kula starehe yalikuwa yanatoka wapi? Halafu hao ni watoto wako so sehemu ya mapato yako iwe ya ndani ya family au nje ilimradi umetafuta wewe mwanao ana haki ya kuyatumia. Ndio maana ukifa sheria inampatia haki ya kurithi na wale wa ndoa.
Ina maana mkeo angekuwa na mtoto asingetumia mapato ya ndani kwa mwanae?
So ukitoa huduma utakuwa unamuaga mkeo kwamba leo natoa ? Unadhan yeye anaposaidia ndugu zake mara Zote anakuaga? Be a man enough kusimama na damu yako. Ni dhambi kumnyanyapaa mtotoLengo ni kuepusha migongano ya kifamilia; nikishazaa na wewe tayari nimetengeneza bond, muhimu hapa ni wewe na yeye kukaa chini na kuweka misingi imara bila kuathiri upande wa ndoa.
So ukitoa huduma utakuwa unamuaga mkeo kwamba leo natoa ? Unadhan yeye anaposaidia ndugu zake mara Zote anakuaga? Be a man enough kusimama na damu yako. Ni dhambi kumnyanyapaa mtoto
Hapo nimekuelewaMfano, labda nimezaa na wewe, mahusiano yangu na yako hayatakiwi kuathiri nyumba kubwa.
Nikikaa na wewe tutapanga ya kwetu na tutabuni ya kwetu, na hayataingiliana na upande mwingine.
Ni wewe tu na uwepesi wa kichwa chako, katika kufanya maamuzi yenye tija; muhimu kujua, huyo mtoto anatakiwa alishwe na ahudumiwe na biashara yake; mtaanzisha vipi, kazi kwenu.
Tatizo ni pale unapokuwa na mtu halafu hamjadili ya maana; ndipo inapokuja kutokea changamoto.Hapo nimekuelewa
Kuna Binti mmja nilikuwa namjua aliishi maisha magumu saana kumbe baba yake ni mtu mkuu Sana,ishu ilikuwa Kwa mama tuu,baadaye alirudi Kwa babaye anakula kuku Kwa mrija
Wakati mwingine ukitoka nje akili inafungukaKwani huko nje mnafwata ya maana?