Kwenu Wanaume mnaozaa na michepuko

Kwenu Wanaume mnaozaa na michepuko

Hii ni point ya msingi sana
Wazae kama wana umwezo wa kuwasimamia watoto wao wenyewe iwe jua iwe mvua
Kama siwezi kumvumilia mwanamke anayembagua housegirl nawezaje kumvumilia anayeibagua damu yangu. Mbona ntahama mimi na huyo mtoto na kwenda kusikojulikana.
 
Kama siwezi kumvumilia mwanamke anayembagua housegirl nawezaje kumvumilia anayeibagua damu yangu. Mbona ntahama mimi na huyo mtoto na kwenda kusikojulikana.
Wewe una akili
Wengine wanatesa watoto wao ili wake zao wapate amani
 
Wallah mi natsfta wa kunipa mtoto nitamnyenyekea kwa namna zote anazotaka uuuwi
 
Wanawake wengi ni Narcissists, huyo mwanamke ndo tatizo lenyewe [emoji16]
 
Ukiona hivyo itakuwa alimtegea mimba bila Mwanaume kujua.

Kama walikubaliana, Mwanaume hawezi kushindwa kulea mtoto mmoja hata kama wangekuwa wawili
 
Ukiona hivyo itakuwa alimtegea mimba bila Mwanaume kujua.

Kama walikubaliana, Mwanaume hawezi kushindwa kulea mtoto mmoja hata kama wangekuwa wawili
Wanaume hawakosi visingizio kuridhisha wake zao
 
Halafu libaba lake liko smart hatarii lilishindwa kupeleka mwanae salon hata kunyoa au ndo alimuogopa mkewe? Shule gan huyu dogo anasoma na hizi nywele??
Na Mungu alivyo fundi katoto kanafanana na babake kuliko wale wa ndoa.
Usikute na yeye anaowalea si wake
 
Itategemea vyanzo vya mapato ni vipi; si halali kutegemea mapato ya ndani ya ndoa, kuja kulisha huku nje; kinachotakiwa ni busara za pande mbili (me +ke) kuamua wafanyeje katika kuekeza kwa ajili ya huo uzao, bila kuathiri upande wa ndoa.
Mbona nyeghe za ndani ya ndoa zimepelekwa nje?
 
Back
Top Bottom