Kwenu Wanaume mnaozaa na michepuko

Kwenu Wanaume mnaozaa na michepuko

Lakini kwani wanaume mkiwaacha hawa watoto kwa mama zao na mkawajibika mbona mtapata thawabu?
Kuna wanawake hawapendi watoto wa kambo na ni waoga wakibaki kwa mama zao sababu wanahisi ni tiketi ya mawasiliano na mume. Kinachobaki ni kuchukua tiketi na kuhakikisha anaichana chana.
 
Kwangu inanipa shida kuwa na watoto nje ya ndoa yangu, najiuliza hawa watoto wataishi vipi! Namuomba sana Mwenyezi Mungu aweke rehema zake watoto wangu wasijekujuta kuzaliwa.
 
Ili kupunguza mawasiliano..!!
Sema kuna kitu sikielewei kwa wanawake.
1. Kwanini mama wa kambo wengi hutesa watoto?
2. Kwanini MARA NYINGI ugomvi unakuwa kati ya mama mkwe na mke wa mtoto, NA SI KWA BABA MKWE NA MUME WA MTOTO?
Naomba maelezo ya kina toka kwa Nakadori, Lenie, Bantu Lady, Detective J, Accumen Mo, Manyanza, Equation x etc
Kwa kweli wanawake wameumbwa kwa roho tofauti na wanaume na hilo lipo wazi kabisa tena ukitaka kujua roho ya mwanamke awe kashajifungua au ana watoto anabadilika kama roho mbaya ni kweupe anafanya...


Hizi ni roho kwa asili yao mheshimiwa usipate tabu ..Ndo maana unaona Kuna tabia kama roho mbaya ,sijui uchoyo mwanaume akifanya anaambiwa ana tabia za kike ..

Note hili:
kiasili mwanaume akipata mtoto wake ni kuwa anakuwa na akili ya kiutu uzima na pia tayar anahamisha interest zake kwenda kwa mtoto na mkewe kama ameshaoa...Ndo maana mwanaume akiwa na mtoto basi anapenda mtoto yeyote hata kama sio wake na pia anakuwa na roho ya huruma labda Maisha tu yamchanganye.

Mwanamke akishazaa na kuwa na mtoto anakuwa na confidence za ajabu na kujiona yeye ndo kila kitu na mwanae ndo kila kitu wengine wote takataka hata kama anapost status chunguza anapost wanae Saba kuliko mumewe hapa kashahamisha mapenzi kwa watoto...

Tena kaangalie mwanamke akikuta watoto wawili wanapigana wa kwake na wenzie hata kama ni rika sawa anaweza kwenda mshambulia mtoto asiwe wa kwake ndo maana Mikasa ya wamama kugombana kisa watoto wao ni mingi ila wanaume ni nadra sana kukuta wanagombana kisa watoto wao akiwakuta anaweza kuwachapa wote au kumpiga wa kwake.

Maisha mwanamke anataka kuishi vizuri yeye pamoja na wanae wa kuwazaa na vile ukute hata kipato anategemea mume kwa hyo roho yake yote inategemea Mali za mumewe hapa yupo tayar kugombana na ndugu za mume hata mama mkwe..Sasa kama ni mtoto baki wa mume ndo atamchukia kila siku kwa vile anajua anashare yake pale.
 
Ili kupunguza mawasiliano..!!
Sema kuna kitu sikielewei kwa wanawake.
1. Kwanini mama wa kambo wengi hutesa watoto?
2. Kwanini MARA NYINGI ugomvi unakuwa kati ya mama mkwe na mke wa mtoto, NA SI KWA BABA MKWE NA MUME WA MTOTO?
Naomba maelezo ya kina toka kwa Nakadori, Lenie, Bantu Lady, Detective J, Accumen Mo, Manyanza, Equation x etc
Mkuu sina cha kujibu maana akili yangu leo imechoka sana laini kuna thread nimeainzisha humu humu inaitwa
 
100%..!! Afu wakati mwingine, anakuwa na safari ya uelekea wa kushoto, wewe ukimwambia muende kulia, kisha utamrudisha kushoto, anakwenda. Au wengine, utakuta anaendesha Vogue lakini kwa lift ya kastaleti kako unangóa goma
Na vigauni vyao vilivyo vifupi sasa paja lote nje mzee una m zoom tu kweli haifai
 
Mke mnyanyasaji wa mtoto asiye wake dawa yake ni kuongeza watoto wengine kama wa3 hivi. Ni suala la muda tu atawaogopa. Watoto wa3 wenye common enemy.
 
Mke wangu kipenzi Mungu akuongee maisha marefu ya kuishi hapa Duniani...yaani wewe ndo umefanya mtoto wangu ambae ni wa mama mwingine amekuwa rafiki yako zaidi yangu.
Kuna binadamu wengine waliumbwa tofauti kabisa...Wife anaendesha Gari umbali mrefu sana anampeleka huyu kijana shule akiwa amemnunulia kila aina ya mahitaji. Kila nikiuliza mtoto mahitaji yake ananiambia mama alishaninua tayari.

Wananwake ondoeni rohoo mbaya kwa watoto wa mme wako Mungu atawaongezea pakubwa sana.
 
Mtoto hana kosa lakini akakae na mama yake, baba amuone akitaka. Akiletwa kwa mama wa kambo tunamfinya hadi atie akili.
Kila mwanamke alee mtoto wake.
🤣🤣🤣
 
Hivi ban ya miezi mitatu bila kupewa mzigo mnachukulia simple eh! Hii inakuw ni forced outcome Haina jinsi!!!
 
Unataka tufanyeje sasa mkuu kwa wale tulionao tayari watoto na wanaishi na Mama zao?
 
Back
Top Bottom