Nakadori
JF-Expert Member
- Sep 21, 2011
- 8,778
- 21,010
- Thread starter
- #101
Wanawake hatupendaniIli kupunguza mawasiliano..!!
Sema kuna kitu sikielewei kwa wanawake.
1. Kwanini mama wa kambo wengi hutesa watoto?
2. Kwanini MARA NYINGI ugomvi unakuwa kati ya mama mkwe na mke wa mtoto, NA SI KWA BABA MKWE NA MUME WA MTOTO?
Naomba maelezo ya kina toka kwa Nakadori, Lenie, Bantu Lady, Detective J, Accumen Mo, Manyanza, Equation x etc