Kwenu Wanaume mnaozaa na michepuko

Kwenu Wanaume mnaozaa na michepuko

Wanaume kabla hamjazaa na michepuko yenu jipimeni na muwe na uhakika kama ki akili mko wazima kiasi cha kuweza kusimama na hawa watoto. Lakini pia punguzeni ubinafsi na kuwatoa hawa watoto kwa mama zao kwa kukwepa gharama za mara kwa mara atakazotaka mama mtoto.
Umesoka vizuri kabisa Miss Nakadori
 
Umeona kaka angu wa faida eh?
 
Vipi nyie kuishi na mtoto wa mwanaume mwingine
Hawa huwa hawana shida binafsi nililelewa na baba wa kambo nikiwa mdogo haikuwa tatizo sana. zaidi nipata vipigo heavy 😀😀 yani vile vya paka mwizi bila kujali kosa na umri. Hata la kusingiziwa. Sema ukiwa mkubwa malalamiko ya hanisaidii yanakuwa mengi.
 
Kitendo cha kuzaa nje ya ndoa. Ni confirmation kwa mwenzio kuwa ww si wa kuaminika.
ikifika level hiyo kunahitajika immediate intervation kusuluisha or mpasuko mkubwa sana unafuatia
Sasa unarekebisha kwa mkeo unaumiza damu yako? Au kwa vile mtoto ni minor hajui kujitetea?
Na mnavyozungukwa mke anakwambia mlete tu nitalea kumbe lengo lake ni kuepuka ww kuwasiliana na mchepuko na hana Mapenzi na mwanao.
 
Kitendo cha kuzaa nje ya ndoa. Ni confirmation kwa mwenzio kuwa ww si wa kuaminika.
ikifika level hiyo kunahitajika immediate intervation kusuluisha or mpasuko mkubwa sana unafuatia
Ni kweli ila wanaume wengi hutumia nguvu kuiunganisha familia wakiamini wamesolve tatizo kumbe ndio wanazidisha tatizo. Mtoto kupokelewa na mke ni rahisi ila kuishi nae kwa upendo sawa na wanae wa kuwazaa ni changamoto.
 
Mke si anampokea kwa sababu zake za wivu kwa mchepuko
 
Hili swala linaniuma kwa sana na hapa ndo utajua ubinafsi wa wazazi kila mtu anaangalia maslahi yake...

Ntakupa mfano mzazi labda sisi wa kiume tuna hii tabia ya ovyo unakuta mtoto unajua kabisa ananyanyasika kwa mkeo(mama wa kambo) ila unajua fika akienda kwa mama ake ataishi kwa amani ila kwa ubinafsi unakaa nae na hutaki kwa mama ake afike ..ila tambua ugomvi wenu kama wazazi mtoto hausiki.

Hii ni scenario ilimpata mdogo wangu wa kike mtoto wa father mdogo aliolewa mwaka 2020 juzi tu baada ya baba ake kufa...Chukulia mfano baada ya father mdogo kufa (baba ake) yeye ndo kapata afueni maana ndo kaenda kumuona mama tangu mdogo alipoachwa na miaka 6 sijui Saba ila hapo kati alikuwa anazuiwa asiende kabisa baada hii anaolewa alikuwa na miaka 22...

Chukulia mfano yaani unakataa asimuone mama ake miaka kibao na huku ananyanyaswa sema mtoto ni mweupe mzuri kaolewa na jamaa anajiweza kidogo na ana mtoto.

Uchunguzi wangu ni huu kwa nn wanagoma kuwapeleka watoto kwa wenza baada ya kuachana.
👇👇👇

1.Umaskini :ndo chanzo kikuu watu hawataki kuwapeleka watoto kwa wenza wao baada ya kuachana kama mbaba anahofia mtoto akienda kule atapewa maneno ya uongo ili baadae asije kumsaidia..Yaani mzee anaogopa kwamba hatukokuja saidiwa uzeeni🤣🤣🤣instead ya kujiwekea akiba zake ale uzuri uzeeni kakalia kuja kulaumu watoto.

2 .Ulinganisho wa malezi na Maisha: mfano mtoto ananyanyaswa then ukampeleka kwa mama ake kipindi cha likizo kule akafika ndani ya mda mfupi akaexperience mambo mazuri labda Maisha na amani ni kwamba atakuja kutoroka huko alipopata manyanyaso na kwenda kule kwa mzazi wake anapopata amani.
 
Back
Top Bottom