Kwenu wanawake mlio kwenye ndoa, inakuaje inakuwa rahisi kwenu kutoka kimapenzi na vijana mliowazidi umri?

Kapime mkuu.
 
Kama hio miguu hapo DP ni yakwako kweli basi unaongea ukweli, ukinichukua mm na ulivyo mzyri hvo utaniaribia kesho yangu [emoji23][emoji23]
 
Toka miaka ya 2007 nlikua nadeti na dada mmoja mzenji ana bwana ake yupo UK kikazi na hadi leo nipo nae Ila nimechelewa tu kuoa kila kitu cha kitandani alinipa + paundi za jamaa na vizawadi kibao toka UK nimemkuta na watoto watatu wadogo mpaka sasa wameoa na wameolewa na wananiita anko. Alishanifumania zaidi ya mara 3 akafanya fujo na hakuniacha mpaka leo anasema najua kumfikisha...Dada amenizidi miaka 8 nampelekea moto mpaka ndugu zake wanajua kafa kwangu alienda kuwahadithia rafiki zake wakaja nikawapelea moto kama wa 4 kila mmoja alikuja kivyake
 
Sasa kama hapa hata ukinizidi miaka 30 naiachaje
View attachment 1946222
😳😳😳 kumbe ni vijana wengi mmeingia kwenye huu ujinga
 
Hongera sana,kwenye kikao chetu cha Mwezi December tutakupatia tuzo na nishani ya ujasiri na ukakamavu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…