Kwenu wanawake mlio kwenye ndoa, inakuaje inakuwa rahisi kwenu kutoka kimapenzi na vijana mliowazidi umri?

😂😂😂😂😂😂 siyo nakukamia lol! Huwezi kushindana na K, nia ni kukufurahisha ili siku nyingine ukiwa kwenye mood umtafute BAK. 😜 Eti vivulana vinaanzia umri gani na kuishia umri gani?

Yes’ and if it happens nimekupa you will end up kunikamia kama hivyo vivulana eeh
 
😂😂😂😂😂😂 siyo nakukamia lol! Huwezi kushindana na K, nia ni kukufurahisha ili siku nyingine ukiwa kwenye mood umtafute BAK. 😜 Eti vivulana vinaanzia umri gani na kuishia umri gani?
Embu nilale huko 🥰
 
Nimewaza namna ya kukujibu nimeshindwa maana kuna vitu vingi sn ktk hili.
1.A desire to have a new thing
2.Capability ya hao vijana wadogo ktk kuchakata
3.Ndani kuna mazoea,ni kimoja then usingizi
4.Mwanamke anavoenda umri ndiyo anazidi kutaka kuchakatwa haswaaa.
5.Ufundi wa vitu vingi wa hao vijana wadogo.
6.Migogoro ndani ya nyumba
6.Makundi ya WhatsApp ya wadada/wamama wanaambizana vitu vingi sana.


Nilikuwa katik dimbwi hilo la kuwa na mdada mkubwa kabisa kwangu,aisee alikolea na amekolea sanaaaa though nilishaanza kumkwepa.Yani kuna kitu huwa anani-test hadi nimeogopa,nikagundua anasimuliwa na wenzake sasa she wants to test,na ni kweli hajawahi. Nilivyomsoma nimeweka GAP kubwa sana namkwepa



Nadhani factors zimeeleweka.
 
Usije kumaindi sikù ukisikia mkeo naye anatembea ni kiserengeti boy.. maana haya mambo yanakwenda sambamba
 
Priscallia kapita kimya kimya hapa hata likes kakufanyia roho korosho 😂😂😂😂😂

 
Mie nani niwaingilie kwenye maisha yao? Kumvulia chupi na kumuonyesha nyonyo mtu mzima aliyemzidi umri wa miaka miwili hata 15 kuna tofauti ipi na kumvulia chupi na kumuonyesha nyonyo babu aliyemzidi miaka 20!?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1483]
 
Priscallia halafu nakupenda sana.Enjoy your own life,enjoy enjoy enjoy we live 1
 
Upo sahihi. Mimi nina limama langu Wala halina pesa ya kunihonga, tukienda field nalipa Mimi vyote. Yeye n zawad ndogo ndogo na kuniheshimu. Napenda Kwan n mshauri wangu mkubwa masuala ya familia na maisha.

Anajua namna ya kunipa raha. Hapigi simu Wala kutuma msg, mpaka nimuanze Mimi. Daima ananisisitiza kuheshimu ndoa yangu.
 
Vijan wenzangu nitafutieni na mimi huyo Mmama nianze kuona viwango

Ila nilikuw napga mmama wa kipare lakn bado alikuw ananiomb ela kwa nguvu na bili hataki kulpa au ku share cost .
NB usimjarbu mmama wa kipare
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…