Kwenu wanawake mlio kwenye ndoa, inakuaje inakuwa rahisi kwenu kutoka kimapenzi na vijana mliowazidi umri?

Kwenu wanawake mlio kwenye ndoa, inakuaje inakuwa rahisi kwenu kutoka kimapenzi na vijana mliowazidi umri?

😂😂😂😂😂😂 siyo nakukamia lol! Huwezi kushindana na K, nia ni kukufurahisha ili siku nyingine ukiwa kwenye mood umtafute BAK. 😜 Eti vivulana vinaanzia umri gani na kuishia umri gani?

Yes’ and if it happens nimekupa you will end up kunikamia kama hivyo vivulana eeh
 
😂😂😂😂😂😂 siyo nakukamia lol! Huwezi kushindana na K, nia ni kukufurahisha ili siku nyingine ukiwa kwenye mood umtafute BAK. 😜 Eti vivulana vinaanzia umri gani na kuishia umri gani?
Embu nilale huko 🥰
 
Nimewaza namna ya kukujibu nimeshindwa maana kuna vitu vingi sn ktk hili.
1.A desire to have a new thing
2.Capability ya hao vijana wadogo ktk kuchakata
3.Ndani kuna mazoea,ni kimoja then usingizi
4.Mwanamke anavoenda umri ndiyo anazidi kutaka kuchakatwa haswaaa.
5.Ufundi wa vitu vingi wa hao vijana wadogo.
6.Migogoro ndani ya nyumba
6.Makundi ya WhatsApp ya wadada/wamama wanaambizana vitu vingi sana.

Nilikuwa katik dimbwi hilo la kuwa na mdada mkubwa kabisa kwangu,aisee alikolea na amekolea sanaaaa though nilishaanza kumkwepa.Yani kuna kitu huwa anani-test hadi nimeogopa,nikagundua anasimuliwa na wenzake sasa she wants to test,na ni kweli hajawahi. Nilivyomsoma nimeweka GAP kubwa sana namkwepa

Nadhani factors zimeeleweka.
 
Nisome vizuri! Mimi nina familia yangu, nina watoto! Siwezi date na mtoto wa Chuo! Huyo ni one night stand basi!

Kwa hiki kipato changu,siwezi afford kua na mwanamke mwingine wa pembeni ambaye anahitaji mahitaji ya kila toka kwangu,siwezi! Ninaweza fanya,nikua na mwanamke ambaye yuko well off financially,huyo ndo mzuri! Ambaye hana vizinga vya kila siku na mauzi ya hapa na pale! Na ili uweze kupata mwanamke wa hivyo,ni lazima awe mkubwa kwako,hawa age mates zetu ni wasumbufu tu,umelala usiku na Mke wako,kinatuma sms, mpenzi I miss you! Nani anapenda ujinga huo??

Ungesema wale vijana ambao hawana familia,hawana watoto,maisha yao yanaendeshwa na hao wanawake,hapo nitaku support,lakini kama Mimi hapa ambaye nina familia yangu na watoto wangu,mtu wakudate naye ni yule aliyenizidi umri! Kwanza atakua ananipa na ushauri, tofauti na hawa age mates zetu,wao ni vizinga tu na kula bata,kila weekend wanataka kutoka out,kama huna pesa siku hiyo, mwenye pochi nene anakuzidi kete!
Usije kumaindi sikù ukisikia mkeo naye anatembea ni kiserengeti boy.. maana haya mambo yanakwenda sambamba
 
Priscallia kapita kimya kimya hapa hata likes kakufanyia roho korosho 😂😂😂😂😂

Toka miaka ya 2007 nlikua nadeti na dada mmoja mzenji ana bwana ake yupo UK kikazi na hadi leo nipo nae Ila nimechelewa tu kuoa kila kitu cha kitandani alinipa + paundi za jamaa na vizawadi kibao toka UK nimemkuta na watoto watatu wadogo mpaka sasa wameoa na wameolewa na wananiita anko. Alishanifumania zaidi ya mara 3 akafanya fujo na hakuniacha mpaka leo anasema najua kumfikisha...Dada amenizidi miaka 8 nampelekea moto mpaka ndugu zake wanajua kafa kwangu alienda kuwahadithia rafiki zake wakaja nikawapelea moto kama wa 4 kila mmoja alikuja kivyake
 
Mie nani niwaingilie kwenye maisha yao? Kumvulia chupi na kumuonyesha nyonyo mtu mzima aliyemzidi umri wa miaka miwili hata 15 kuna tofauti ipi na kumvulia chupi na kumuonyesha nyonyo babu aliyemzidi miaka 20!?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1483]
 
Priscallia halafu nakupenda sana.Enjoy your own life,enjoy enjoy enjoy we live 1
 
Upo sahihi. Mimi nina limama langu Wala halina pesa ya kunihonga, tukienda field nalipa Mimi vyote. Yeye n zawad ndogo ndogo na kuniheshimu. Napenda Kwan n mshauri wangu mkubwa masuala ya familia na maisha.

Anajua namna ya kunipa raha. Hapigi simu Wala kutuma msg, mpaka nimuanze Mimi. Daima ananisisitiza kuheshimu ndoa yangu.
Nisome vizuri! Mimi nina familia yangu, nina watoto! Siwezi date na mtoto wa Chuo! Huyo ni one night stand basi!

Kwa hiki kipato changu,siwezi afford kua na mwanamke mwingine wa pembeni ambaye anahitaji mahitaji ya kila toka kwangu,siwezi! Ninaweza fanya,nikua na mwanamke ambaye yuko well off financially,huyo ndo mzuri! Ambaye hana vizinga vya kila siku na mauzi ya hapa na pale! Na ili uweze kupata mwanamke wa hivyo,ni lazima awe mkubwa kwako,hawa age mates zetu ni wasumbufu tu,umelala usiku na Mke wako,kinatuma sms, mpenzi I miss you! Nani anapenda ujinga huo??

Ungesema wale vijana ambao hawana familia,hawana watoto,maisha yao yanaendeshwa na hao wanawake,hapo nitaku support,lakini kama Mimi hapa ambaye nina familia yangu na watoto wangu,mtu wakudate naye ni yule aliyenizidi umri! Kwanza atakua ananipa na ushauri, tofauti na hawa age mates zetu,wao ni vizinga tu na kula bata,kila weekend wanataka kutoka out,kama huna pesa siku hiyo, mwenye pochi nene anakuzidi kete!
 
Vijan wenzangu nitafutieni na mimi huyo Mmama nianze kuona viwango

Ila nilikuw napga mmama wa kipare lakn bado alikuw ananiomb ela kwa nguvu na bili hataki kulpa au ku share cost .
NB usimjarbu mmama wa kipare
 
Back
Top Bottom