Anko moto 😅Toka miaka ya 2007 nlikua nadeti na dada mmoja mzenji ana bwana ake yupo UK kikazi na hadi leo nipo nae Ila nimechelewa tu kuoa kila kitu cha kitandani alinipa + paundi za jamaa na vizawadi kibao toka UK nimemkuta na watoto watatu wadogo mpaka sasa wameoa na wameolewa na wananiita anko. Alishanifumania zaidi ya mara 3 akafanya fujo na hakuniacha mpaka leo anasema najua kumfikisha...Dada amenizidi miaka 8 nampelekea moto mpaka ndugu zake wanajua kafa kwangu alienda kuwahadithia rafiki zake wakaja nikawapelea moto kama wa 4 kila mmoja alikuja kivyake
Uhalisia mtupuVijana tunapenda wamama kwa sababu nyingi sana na sio pesa tu!
Moja! Wamama wengi hawana vizinga vya kijinga jinga,baby naomba pesa ya kwenda saloon,baby umeniletea zawadi gani,hawana maswali yakijinga,uko wapi,unafanya nini,umekula nini,unaenda kula nini,leo umevaaje,vipi
kwani wakina mama warembo wana ubaya ganiiiiii......in gwaji boy voiceHivi sasa kumekuwa na wimbi kubwa la wamama (hasa walioko katika ndoa) kutoka kimapenzi na vijana wadogo wanaowazidi umri hata mara tatu (3) na unakuta ameridhika na haogopi kuwa jamii inayomzunguka itamchukuliaje.
Huyo ni rafiki sasa sio mshauri tu!Upo sahihi. Mimi nina limama langu Wala halina pesa ya kunihonga, tukienda field nalipa Mimi vyote. Yeye n zawad ndogo ndogo na kuniheshimu. Napenda Kwan n mshauri wangu mkubwa masuala ya familia na maisha.
Anajua namna ya kunipa raha. Hapigi simu Wala kutuma msg, mpaka nimuanze Mimi. Daima ananisisitiza kuheshimu ndoa yangu.
Ina maana ameshakuambukiza na wewe mzee baba?Vipi Priscallia unaendeleaje na maambukizi yako ya ugonjwa wa ukimwi na hujafanikiwa kumuambikiza hata kijana mmoja wa hovyo huo ukimwi?
Kama hujafanikiwa kumuambikiza hata mtu mmoja huo ugonjwa, maana yake hautendi haki kwa ukimwi wenyewe
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂Vijan wenzangu nitafutieni na mimi huyo Mmama nianze kuona viwango
Ila nilikuw napga mmama wa kipare lakn bado alikuw ananiomb ela kwa nguvu na bili hataki kuangik nazo.
NB usimjarbu mmama wa kipare
Hii comment ifanyiwe laminationKama weee huwezi,wenzio wanaweza na Wana enjoy
Punguza masikitiko
They decided to live we endelea kuishi maisha ya watu ambayo sio yako[emoji1]
By the way I like matured women they have a certain amazing and specific test daamn !!!
They are so wet and can handle vishindo.
Ila imategemea ntu na ntu
Hao vijana wanaharibiwaje?Hivi sasa kumekuwa na wimbi kubwa la wamama (hasa walioko katika ndoa) kutoka kimapenzi na vijana wadogo wanaowazidi umri hata mara tatu (3) na unakuta ameridhika na haogopi kuwa jamii inayomzunguka
HahahaIna maana ameshakuambukiza na wewe mzee baba?
Amna mkuu, nimeona uzi wake wa jinsi alivyopata ukimwi umefufuliwa upyaIna maana ameshakuambukiza na wewe mzee baba?
hahahahaHii comment ifanyiwe lamination
Mi nadhani wengi wao ukichunguza ni wanawake ambao kwenye ujana wao au kabla ya kuolewa walikuwa wametembea na wanaume wengi kwahiyo mapenzi ya kitandani anayajua,inapotokea kaolewa ile hisia inaendelea kubakia kichwani mwake na kama mume aliyempata sio mtundu au ana maradhi au yuko bize muda mwingi au ana vimada,kwake kupiga Uturn na kutafuta mtu mwenye nguvu wa kumridhisha ni kama kumsukuma mlevi...Hivi sasa kumekuwa na wimbi kubwa la wamama (hasa walioko katika ndoa) kutoka kimapenzi na vijana wadogo wanaowazidi umri hata mara tatu (3) na unakuta ameridhika na haogopi kuwa jamii inayomzunguka itamchukuliaje.
Naomba niwaulize wanawake wenzangu ambao mko kwenye ndoa inakuaje kuaje hadi kufikia hatua ya kutoka kimapenzi na vijana mliowazidi umri, kuna raha gani mnayoipata? Hata kama ni kufanya udanganyifu basi mjaribu kutoka na wanaume ambao mnalingana umri ama waliowazidi.
MTOA MADA AMEPENDA KUWAULIZA WANAWAKE WENZAKE TENA WALIOKO KWENYE NDOA SASA NAONA WANAUME TUNATIRIRIKA TUU