Kwenu wanawake mlio kwenye ndoa, inakuaje inakuwa rahisi kwenu kutoka kimapenzi na vijana mliowazidi umri?

Kwenu wanawake mlio kwenye ndoa, inakuaje inakuwa rahisi kwenu kutoka kimapenzi na vijana mliowazidi umri?

Toka miaka ya 2007 nlikua nadeti na dada mmoja mzenji ana bwana ake yupo UK kikazi na hadi leo nipo nae Ila nimechelewa tu kuoa kila kitu cha kitandani alinipa + paundi za jamaa na vizawadi kibao toka UK nimemkuta na watoto watatu wadogo mpaka sasa wameoa na wameolewa na wananiita anko. Alishanifumania zaidi ya mara 3 akafanya fujo na hakuniacha mpaka leo anasema najua kumfikisha...Dada amenizidi miaka 8 nampelekea moto mpaka ndugu zake wanajua kafa kwangu alienda kuwahadithia rafiki zake wakaja nikawapelea moto kama wa 4 kila mmoja alikuja kivyake
Anko moto 😅
 
Vijana tunapenda wamama kwa sababu nyingi sana na sio pesa tu!

Moja! Wamama wengi hawana vizinga vya kijinga jinga,baby naomba pesa ya kwenda saloon,baby umeniletea zawadi gani,hawana maswali yakijinga,uko wapi,unafanya nini,umekula nini,unaenda kula nini,leo umevaaje,vipi
Uhalisia mtupu
 
Vipi Priscallia unaendeleaje na maambukizi yako ya ugonjwa wa ukimwi na hujafanikiwa kumuambikiza hata kijana mmoja wa hovyo huo ukimwi?

Kama hujafanikiwa kumuambikiza hata mtu mmoja huo ugonjwa, maana yake hautendi haki kwa ukimwi wenyewe
 
Hivi sasa kumekuwa na wimbi kubwa la wamama (hasa walioko katika ndoa) kutoka kimapenzi na vijana wadogo wanaowazidi umri hata mara tatu (3) na unakuta ameridhika na haogopi kuwa jamii inayomzunguka itamchukuliaje.
kwani wakina mama warembo wana ubaya ganiiiiii......in gwaji boy voice
 
Upo sahihi. Mimi nina limama langu Wala halina pesa ya kunihonga, tukienda field nalipa Mimi vyote. Yeye n zawad ndogo ndogo na kuniheshimu. Napenda Kwan n mshauri wangu mkubwa masuala ya familia na maisha.

Anajua namna ya kunipa raha. Hapigi simu Wala kutuma msg, mpaka nimuanze Mimi. Daima ananisisitiza kuheshimu ndoa yangu.
Huyo ni rafiki sasa sio mshauri tu!
 
Vijan wenzangu nitafutieni na mimi huyo Mmama nianze kuona viwango

Ila nilikuw napga mmama wa kipare lakn bado alikuw ananiomb ela kwa nguvu na bili hataki kuangik nazo.
NB usimjarbu mmama wa kipare
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
 
Kama weee huwezi,wenzio wanaweza na Wana enjoy

Punguza masikitiko

They decided to live we endelea kuishi maisha ya watu ambayo sio yako[emoji1]

By the way I like matured women they have a certain amazing and specific test daamn !!!

They are so wet and can handle vishindo.

Ila imategemea ntu na ntu
Hii comment ifanyiwe lamination
 
IMG_9226.jpg
 
Naomba niwaulize wanawake wenzangu ambao mko kwenye ndoa inakuaje kuaje hadi kufikia hatua ya kutoka kimapenzi na vijana mliowazidi umri, kuna raha gani mnayoipata? Hata kama ni kufanya udanganyifu basi mjaribu kutoka na wanaume ambao mnalingana umri ama waliowazidi.

MTOA MADA AMEPENDA KUWAULIZA WANAWAKE WENZAKE TENA WALIOKO KWENYE NDOA SASA NAONA WANAUME TUNATIRIRIKA TUU
 
Hivi sasa kumekuwa na wimbi kubwa la wamama (hasa walioko katika ndoa) kutoka kimapenzi na vijana wadogo wanaowazidi umri hata mara tatu (3) na unakuta ameridhika na haogopi kuwa jamii inayomzunguka itamchukuliaje.
Mi nadhani wengi wao ukichunguza ni wanawake ambao kwenye ujana wao au kabla ya kuolewa walikuwa wametembea na wanaume wengi kwahiyo mapenzi ya kitandani anayajua,inapotokea kaolewa ile hisia inaendelea kubakia kichwani mwake na kama mume aliyempata sio mtundu au ana maradhi au yuko bize muda mwingi au ana vimada,kwake kupiga Uturn na kutafuta mtu mwenye nguvu wa kumridhisha ni kama kumsukuma mlevi...
 
Naomba niwaulize wanawake wenzangu ambao mko kwenye ndoa inakuaje kuaje hadi kufikia hatua ya kutoka kimapenzi na vijana mliowazidi umri, kuna raha gani mnayoipata? Hata kama ni kufanya udanganyifu basi mjaribu kutoka na wanaume ambao mnalingana umri ama waliowazidi.

MTOA MADA AMEPENDA KUWAULIZA WANAWAKE WENZAKE TENA WALIOKO KWENYE NDOA SASA NAONA WANAUME TUNATIRIRIKA TUU

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom