Kwenu wanawake mlio kwenye ndoa, inakuaje inakuwa rahisi kwenu kutoka kimapenzi na vijana mliowazidi umri?

Mimi siowi, wake za watu wapo, afu watamu kweli yani. Hawana usumbufu, sio wachoyo, hata kitandani wanakupa ukitakacho.

Tuache masighara, wake za watu hasa wamama ni watamu asikuambie mtu.
Mafuta huogopi
 
Hivi sasa kumekuwa na wimbi kubwa la wamama (hasa walioko katika ndoa) kutoka kimapenzi na vijana wadogo wanaowazidi umri hata mara tatu (3) na unakuta ameridhika na haogopi kuwa jamii inayomzunguka itamchukuliaje.
Vijana si ndio Wana nguvu ya kuwapelekea moto au
 
Ana lengo zuri anashirikisha wanawake wenzie ili apate kujua sababu zake hasa ni zipi,,lengo wabadilike lakini ni ngumu sana dunia ina watu wenye mitizamo na ladha tofauti so wewe unaweza kuwa unapenda aina fulani ya mwanamke mwingine anampenda mwanamke kwa weupe wake tu nk.

Ukikuta mwanamke anamtaka kijana mdogo kimapenzi ni mwonjo wake ndio ladha aitakayo,,kijana nae anamtaka mmama, mzee wa umri nae anamsarandia msichana mdogo, na visichana navyo vinapenda sana wazee watu wazima so unaweza kuona sura tofauti tofaut za uzoefu wa mionjo ya kimapenzi.Umikimuona mwenzio anakavuta kabinti kadogo usimchukie na wewe Mmama ukimuona Mmama anamvuta kijana mdogo kimapenzi ndio mwonjo wake wa kuinjoi mapenzi..sawa bakulungwa???
 
Hivi sasa kumekuwa na wimbi kubwa la wamama (hasa walioko katika ndoa) kutoka kimapenzi na vijana wadogo wanaowazidi umri hata mara tatu (3) na unakuta ameridhika na haogopi kuwa jamii inayomzunguka itamchukuliaje.
Naomba tu ni si zeeke haraka.
 
Mkuu huyo dada anabwabwaja tu. Kuna mama mmoja aliwahi kusema hvyo hvyo akiwa anaongea na wamama wenzake. Aliongea kama huyu mdada cjui mmama alivyoreply comment ya kwanza, wakat anaongea alinitolea mfano mimi akidai hatokuja kumvulia nyupi kijana wa rika langu.

Cha ajabu alikuja kunivulia nyupi nikamsugua mpaka leo hii namsugua na sometimes anafos mpaka na hela na cjawah kumkumbusha kuhusu kiapo chake[emoji16][emoji16].
 
Umeonaa
 
Hivi sasa kumekuwa na wimbi kubwa la wamama (hasa walioko katika ndoa) kutoka kimapenzi na vijana wadogo wanaowazidi umri hata mara tatu (3) na unakuta ameridhika na haogopi kuwa jamii inayomzunguka itamchukuliaje.
Wazee wanakula vibinti kama watoto wao hamshangai sasa hivi it's a win win situation haki sawa kwa wote
 
Oñce a cheater always a cheater ....nahivi umri unakua umeenda basi wanajikumbushia mara mojamoja
 
Sio mbaya and vijana tunawapenda Sana wamama wakubwa. Hamna shida ndogo ndogo and ni rahisi Mimi kuendelea na mipango yangu ya maisha huku nikiwa na uhakika wa utelezi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…