Ana lengo zuri anashirikisha wanawake wenzie ili apate kujua sababu zake hasa ni zipi,,lengo wabadilike lakini ni ngumu sana dunia ina watu wenye mitizamo na ladha tofauti so wewe unaweza kuwa unapenda aina fulani ya mwanamke mwingine anampenda mwanamke kwa weupe wake tu nk.
Ukikuta mwanamke anamtaka kijana mdogo kimapenzi ni mwonjo wake ndio ladha aitakayo,,kijana nae anamtaka mmama, mzee wa umri nae anamsarandia msichana mdogo, na visichana navyo vinapenda sana wazee watu wazima so unaweza kuona sura tofauti tofaut za uzoefu wa mionjo ya kimapenzi.Umikimuona mwenzio anakavuta kabinti kadogo usimchukie na wewe Mmama ukimuona Mmama anamvuta kijana mdogo kimapenzi ndio mwonjo wake wa kuinjoi mapenzi..sawa bakulungwa???