Kwenu wanawake mlio kwenye ndoa, inakuaje inakuwa rahisi kwenu kutoka kimapenzi na vijana mliowazidi umri?

Kwenu wanawake mlio kwenye ndoa, inakuaje inakuwa rahisi kwenu kutoka kimapenzi na vijana mliowazidi umri?

Priscallia

JF-Expert Member
Joined
Nov 9, 2019
Posts
496
Reaction score
2,449
Hivi sasa kumekuwa na wimbi kubwa la wamama (hasa walioko katika ndoa) kutoka kimapenzi na vijana wadogo wanaowazidi umri hata mara tatu (3) na unakuta ameridhika na haogopi kuwa jamii inayomzunguka itamchukuliaje.

Nimeona kwa mfanyakazi mwenzangu ambaye ana watoto watatu na kwa chini ya kapeti nilisikia harusi yake ilikuwa kubwa tu hapa mjini na ilihudhuriwa na mmoja wa kiongozi mkubwa tu ambaye kwa sasa amestaafu.

Naomba niwaulize wanawake wenzangu ambao mko kwenye ndoa inakuaje kuaje hadi kufikia hatua ya kutoka kimapenzi na vijana mliowazidi umri, kuna raha gani mnayoipata? Hata kama ni kufanya udanganyifu basi mjaribu kutoka na wanaume ambao mnalingana umri ama waliowazidi.

Hawa vijana wadogo wengi mnawaharibia kesho yao, kwa mfano mimi nikianza kutoka na kijana ninae mzidi umri unafikiri ataanzaje kuniacha kwa mfano? Yaani nijishughulishe vilivyo kitandani halafu nimpe na pesa za matumizi ni muda gani atafikiria kuwa na familia yake? Kwa hili tujaribu kubadilika hawa watoto sio saizi zetu.

1632166652476.png
 
Naanzaje kwa mfano kumvulia hata sidilia yangu aone nyonyo zangu, thubutu.
Kama weee huwezi,wenzio wanaweza na Wana enjoy

Punguza masikitiko

They decided to live we endelea kuishi maisha ya watu ambayo sio yako[emoji1]

By the way I like matured women they have a certain amazing and specific test daamn !!!

They are so wet and can handle vishindo.

Ila imategemea ntu na ntu
 
Umeongea kweli kabisa..ilishawahi nitokea mke wa mwanajeshi kabs akanipenda mwenyewe kisa nilikuwa nanunua bidhaa dukani kwake..nikitoka job nimepndeza anasema we kijana mzuri sana ..Mara pa akaja kwangu anaomba maji ya kunywa...nilivyompa maji kuaga atoke hamna...nikajiongeza nikapiga ndo ukawa mchezo wetu..mpka naama mji bado ananitafta tu..ananizidi kama miaka 8 sjui kwann wanawapenda vijana.
 
Kama umeishi that long, kutokana na statement zako haukupaswa kushangaa. idadi ya watu millioni 60 lazima tu kutakuwa na utofauti wa mawazo na utendaji pia
Namshangaa huyu

Hizi Mambo zs kutaka watu waishi kwa mitazamo yako ndio uduanzi wenyewe[emoji1787]

Kila mtu aishie vile inavyompendeza huna haki ya kuyapangilia maisha yake
 
Back
Top Bottom