Kwenu wanawake mnaojifanya ma-FBI

Poleni sana...
Hayanaga muongozo...

Kuna member kaleta uzi wa kuchanganyikwa baada ya kusoma sms kutoka kwenye simu ya mume wake na kukuta ana mchepuko na penzi zito...

Wewe ndiyo mume wake au...
Hapana mkuu Mimi mke wangu Alisha pigwaga na kitu kizito saizi hafanyi hayo[emoji1][emoji1][emoji1]
 
[emoji419][emoji419][emoji419][emoji419][emoji419][emoji419][emoji419][emoji419][emoji419][emoji419][emoji419][emoji419]
 
Eti mtu anaiogopa simu ya mume wake mwenyewe. Eish

Mwendo ni huohuo my dear
 
Nje ya huo uzinifu unao waza kwenye simu yangu Kuna Mambo mengi Sana nafanya hivyo sitoweza kutaka kila mtu ajue kila kitu kuhusu mimi. Hivi ukijua mama yangu namtumia hela nyingi kushinda mama yako ukweni ukijua hili utavumilia kweli.....?
Sio kulivumilia bali nitalikubali tu. Hata Mimi natuma hela nyingi kwa mama yangu kuliko kwa wakwe😏
 
Kwa kweli sishiki simu ya mtu ila akitaka yangu ashike tu. Sio tu kushika simu huwa sitaki kujua upande mwingine ambao mtu hajataka kunionyesha. Hii ni kwa ajili ya amani ya moyo maana nikijua baya la baby sitaweza kuvumilia. Nailinda furaha yangu sana kwa kweli nisiyoyaona sitakagi kuyajua kabisaaaaa.
Halafu unashika/chunguza simu ya mwenzio unataka kuona nini? Hamuaminiani? Ukishaona unaweza kumuacha huyo mwenza au unajitafutia kukereka?

Kila mtu ashike simu yake kama ni mhangaikaji utajua tu hata bila kushika simu.
 
Such a lame excuse
 
Sababu ya kushika simu yamtu kuanza kuchunguza ni Nini?simuamini au na kma simuamini nikikuta ambacho siwez kustahimili maana yake naweza kumuacha au naendlea kuwa nae?

Kumuamini mtu na kumlinda sio lazima umchunguze kunamengi hayako wazi sio uzinzi tu na huenda yasiwe mabaya lkn unaweza usjisikie vizuri simu inaprivacy nyingi na kushika haina maana ndo utajua kilakitu Bali kumtafutia mbinu za kufanya ashtukiwe mzinzi ni mzinzi tu hata umkague vipi huenda akawa anaenda kubeba Malaya anakruka nao na hana hta namba zao... ukimwi ukopalepale muhimu kuwekana wazi kuelezana ukweli ataesikia na asikie na heshima ifate mkondo wake...
 
Unakuta Saa nane za usiku anakuangalia Kama unakoroma,anachukua simu anaenda kuikagua chooni,anachokutana nacho huko chooni sasa!!..mkiamka asubuhi sasa,unakuta mtu amefura Kama mtu aliyekunywa uji wa Moto ugenini akashindwa kuutema
Nimecheka sana, hasa hizi simu za finger print alafu uje umepiga masanga, anakugusisha password inatoka kiurahisi anaaza u so called FBI
 
Ukiweka simu yako lock ya fingerprint usiku anakugusisha kwenye hicho kidole ukiwa umelala, lock inatoka[emoji16][emoji16][emoji16]
Kweli mkuu, hata ukiweka ya sura lazima aifungue tu hasa kama umepiga na yale ambo yetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…