Kwenu wanawake mnaojifanya ma-FBI

Hata wewe pia unaweza kumletea Ugonjwa kutoka kwa yule Jamaa yako ambae unadhani yuko salama. Its vice-versa, kikubwa ni kuheshimiana.
 
Mimi alikagua simu alichokutana nacho usiku mzima alikuwa analia baadae kesho yake nikasikia akijisemea mwenyewe kwa vile unatutunza vizuri mimi nitakuombea tu na mimi niliendelea kukaza kuwa mbishi mpaka leo ila sasa naona mambo sawa

Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
 
Akiweka kile kindege... Ndy hatari kwa Afya.

Niliwahi kukuta " Babe una dyudyu tamu"
Mapenzi Konyooooooooooo!!!!!!
 
Nakazia hapo "Mwanamke amchaye BWANA ndiye atakaye sifiwa". Uko na hekima, endelea hivyo hivyo na Mungu atakusaidia.
 
Unajitafitia presha zisizo sababu. Mungu ameumba jambo jipya, mwanamke atamlimda mumewe sio kama unavyowaza wewe bali kwa maombi. Only prayers.
 
Unajitafitia presha zisizo sababu. Mungu ameumba jambo jipya, mwanamke atamlimda mumewe sio kama unavyowaza wewe bali kwa maombi. Only prayers.
Proverbs 31:27 She watches over the ways of her household...

Sio tu kuchunguza simu; chunguza kampani yake, wanaongea nini wanafanya nini; hata mkeo akikwambia anaenda kanisa la jirani kwenye maombi hakikisha unajua ni Mchungaji wa aina gani anayeilisha nafsi yake; anamfundisha nini? Hadi magroup ya wasap sijui Vicoba ; know exactly wanachofundishana huko. Usikae kibwege hadi nafsi ya mwenzi wako ikaangamia; Mungu amekuamini na maisha ya mwenzi wako

Muwe mnasoma Biblia yote, sio kuchukua kifungu kimoja kimoja kinachojustify mambo yenu.
 
Pamoja na hayo yote, weka hili akilini. Hakuna binadamu anayeweza mlinda binadamu mwenzake. Hata kama ukiyafanya yote hayo, kama hana hofu ya Mungu personally atachepuka tu.
 
Pamoja na hayo yote, weka hili akilini. Hakuna binadamu anayeweza mlinda binadamu mwenzake. Hata kama ukiyafanya yote hayo, kama hana hofu ya Mungu personally atachepuka tu.
Hofu ya Mungu anayo na Mimi nafuatipia nyendo zake kama vile ninavyofuatilia nyendo za watoto wetu. They are my responsibility.....
 
Hii simu inatisha..

Ukishika unalia mwenyewe...
Unalia na hukomii.. Unaendelea kuishika tuu..

Ukishashika simu mara moja ndio inakuwa uraibu kutaka kuishika kila siku. Mwishowe ni kilio kila siku na ugomvi usioisha. Hata siku ukikagua usipokuta chochote utakumbushia zile sms ulizoona mwaka jana.
 
Dada mkubwa kamaliza🙏🙏🙏

Uzi ungeishia hapa

Hayo mengine ni porojo tu na unafik wa watu
 
Ewaaaaaaaaa, yes nasema ndiyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…