Kwenu Wanawake, upo tayari kuwa na mwanaume uliyemzidi umri?

Kwenu Wanawake, upo tayari kuwa na mwanaume uliyemzidi umri?

Powerful hands ni mojawapo ya mwili wa kiume, kila mtu ana preferences zake ila akiwekwa mwanaume mwenye powerful hands na mwanaume soft,wanawake more likely watachagua mwanaume mwenye powerful hands...ni security tu hamna lingine

U tall tuna interpret unaweza kuintimidate wanaoingilia himaya yako, aggressive/dominant sio kama tunavyowachukulia watu wafupi kama weak, na sisi ni security tunahitaji na si kingine,

Pia tunaangaliaga genes tunapochagua wachumba 😁 ,tallness,u handsome ni dalili ya good genes...
Eeeh shosti hii analysis Yako kiboko!we unaangalia security ya kulinda himaya Kwa kuangalia body ya mtu kwani Kuna mfecane war siku hizi? Security ya Karne hii haipimwi Kwa maguvu ya mtu,kama ni hivyo wale mabaunsa wangekuwa deal, Security Ina indicator zake bwana wee., Kichwani lazima awe smart so ni rahisi kufanikiwa kusolve matatizo ya familia.
By the way sipendi wanaume wenye mamisuli,sijui six pack nawaogopa.
 
Mimi napenda anizidi kishkaji tu,4-8,ila awe TIMAMU....... Hao wakuzidi sana umri siwataki unakata na mtu utasema mjomba Yako bwana! yeye kila saa anakusimulia vita vya Kagera aaaaghhhr sitaki
[emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka. Mwanaume akiwa mkubwa sana nayo hapana hata kujiachia unashindwa unahisi kama upo na baba yako.
 
Back
Top Bottom