Kwenu Wanawake, upo tayari kuwa na mwanaume uliyemzidi umri?

Huyo 📡 litakuwa liliyumba.
No, dish halikuyumba, kiuhalisia jamii nyingi zinamuhesabia mwanaume hata akiwa mdogo ni mfalme.

Mimi katika maisha yangu aijawahi kutamani wala kuwaza kuwa na uhuaiano na ke aliyenizidi.

Sipendi hicho kitu kabisa.
Aliwahi mmoja aliyenizidi miaka 2 kutamani niwe naye kwangu ilikuwa ngumu
 
Hiyo age difference ni kubwa sana Huoni kumwamkia huyo mtoto ni kumtwisha jukumu zito🙄?
 
Back
Top Bottom