Kwenu Wanawake, upo tayari kuwa na mwanaume uliyemzidi umri?

Kwenu Wanawake, upo tayari kuwa na mwanaume uliyemzidi umri?

Tukiachana na vinyongo hakika tutskuwa na maisha mazuri na kumpendeza Aliyetuumba...na tutatembeleana majumbani mwetu.

Hivi hatutaulizana vitu kama hivi juu juu bali ungenijia nyumbani😂😂😂
Rafiki rafiki rafiki 🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻😂😂😂😂😂
 
Maisha yangu yote, toka naanza kujitambua mpaka sasa, nimekua nikivutiwa sana na wanawake walionizidi umri. Sijui ni kwanini au ni kivipi nimekua na hii tabia.

Nilichokua nakifanya ni kupuuzia na kukandamiza hisia zangu, ikitokea nimempenda binti aliyenizidi umri, basi nafanya kumpotezea ama kumkwepa kadri niwezavyo.

Niliwahi kumpata binti mmoja kwa kumdanganya umri, ila ilinitokea puani vibaya mno.

Lakini hivi karibuni nimeanza kuona kama najitesa sana kwa kuzuia hisia zangu. Nataka sasa nijaribu bahati yangu.

Swali kwenu wadada, je unaweza kua na mwanaume uliyemzidi umri, tuseme kuanzia mwaka 1 hadi miaka 10?

Unalichukuliaje swala hili? haiwezekani kabisa au ni ushamba wangu tu?

Nahitaji mawazo yenu dada zangu na shangazi zangu.

NB: wanaume pia mnaruhusiwa kuchangia kama una cha muhimu au ushauri.

To yeye
Leejay49
Demi
Aaliyyah
Kelsea
Lenie
Depal
Lovie Lady
Darlin
Ms eyes
Dahan
cocastic
Cute Wife
Bushmamy
Joanah
Joannah
Dejane
Palina
Kapeace
Cienna
Tinsley
Bantu Lady
Age is just a number bro..
Unachotakiwa kuangalia ni upendo juu yenu hiyo inatosha hayo mengine mbwembwe tu
 
Mimi wakati nina miaka 27 nilikuwa na mahusiano na mama mmoja wa kirangi yeye alikuwa na miaka 49 pale mtwara mjini, kiukweli yule mama alikuwa ananipenda sana kiukweli alinifanyia mambo mengi sana wakati huo sina ramani yakueleweka town,chakushangaza alikuwa ananiamkia nilikuwa nafurahi sana
Huyo 📡 litakuwa liliyumba.
 
Back
Top Bottom