Kwenu Wanawake, upo tayari kuwa na mwanaume uliyemzidi umri?

Ngumu mkuu,lakini ndivyo tunavyo interpret ukumbuke tunazaa watoto watakaosambaza DNA/uzao wetu mpaka kizazi kinachofuata, na kinachofuata hilo ndio lengo kuu la procreation...
Sijui Kwa Nini uandishi wako naona kama una ukakasi!mbona kama unaingilia sana majukumu ya Mungu?Duh aiseeee hata sijui.

Anyways, nakushauri chunga sana ndimi Yako.
 
Sijui Kwa Nini uandishi wako naona kama una ukakasi!mbona kama unaingilia sana majukumu ya Mungu?Duh aiseeee hata sijui.
Anyways, nakushauri chunga sana ndimi Yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…