Kwenu Wanawake, upo tayari kuwa na mwanaume uliyemzidi umri?

Tena wanawake wanasema wanapenda ku-date na wanaume wenye umri mkubwa nahis ni kwasababu wanafikiri umri mkubwa=hela Extrovert

Kuna binti kaolewa na mwanaume kamzidi 30 years okus kisa pesa.namuonea sana huruma maana mwanaume ni spina mkononi. Yaani ana stress kama zote. Sasa hivi anaanza kuona jamaa ni msumbufu.
 
Ila maisha yana surprise nyingi sana. Unachikitamani unaweza usikipate au ukabadilisha misimamo kutokana na circumstances. Kwa hiyo tusiongee sana, kabla hujafa hujaumbika.
hawajui hawa hii dunia sio ya kuwekea viapo
 
Mimi sikatai nyinyi kupendana ,Upendo una Nguvu sana,kinachonikera Mimi Kwa Nini akuamkie shikamoo??kwani mngeambiana tu mambo baby angepungukiwa Nini?
 
Mimi sikatai nyinyi kupendana ,Upendo una Nguvu sana,kinachonikera Mimi Kwa Nini akuamkie shikamoo??kwani mngeambiana tu mambo baby angepungukiwa Nini?
🤣🤣🤣 labda ni heshima zake kwangu siku za kwanza nikiona aibu sana kuitikia ila baadae nikazoea tu mpaka leo
 
Tena wanawake wanasema wanapenda ku-date na wanaume wenye umri mkubwa nahis ni kwasababu wanafikiri umri mkubwa=hela Extrovert
Hapa kuna hilo ulilosema sahihi
Vingine ni , wengine hawapendi kuumiza vichwa anataka mtu ambaye ikitokea changamoto huyu mtu asiseme tunafanyaje aseme tu hili nafanya hivi alafu mdada yeye aseme sawa Yani aletewe solutions za tatizo yeye afanye approval ndio wengi wanatafsiri hivyo
Umri= ujasiri wa kutatua mambo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…