Kwenu Wanawake, upo tayari kuwa na mwanaume uliyemzidi umri?

Kwenu Wanawake, upo tayari kuwa na mwanaume uliyemzidi umri?

Hahahah aliekwambia madogo wote wanalelewa nani. Mtu anakuja kwako akiwa well established. Ana kampuni zake ana run kama CEO. Mkwanje mrefu Dubai kama towntrips tu. 🤣

Acheni usanii!!! Hakuna mwanamke anayekataa mtu mwenye uhakika wa maokoto hata awe janki.
Nakazia
Cha mhimu gap lisiwe kubwa sn
 
Asante sana kwa kujielewa unataka nini na kusimamia upande wako kwa uthabiti usiopindika.

Sina tatizo na wewe kabisa.

Tatizo ni kwa wale wanaotaka kuwa sawa au zaidi ya wanaume, halafu hapo hapo wanataka wanaume wawalipie bill zao zote.

Contradiction.
Mimi anizidi,nimzidi hakuna shida,cha mhimu asimane kwenye nafasi yake km mwanaume,baba....
Mimi sio muumini wa 50/50
 
Mimi wakati nina miaka 27 nilikuwa na mahusiano na mama mmoja wa kirangi yeye alikuwa na miaka 49 pale mtwara mjini, kiukweli yule mama alikuwa ananipenda sana kiukweli alinifanyia mambo mengi sana wakati huo sina ramani yakueleweka town,chakushangaza alikuwa ananiamkia nilikuwa nafurahi sana
🤔🤭Aiseee sio Kwa hiyo tofauti

Mama yangu23 different 🙌🙌
 
Umeongea mama, mi nampima mwanaume jinsi anapambania familia yake, jinsi anajua majukumu yake, urefu wako na usix packs aisee havileti ugali mezani wala ada za watoto, hao watoto wakiwa na sura ngumu au muonekano wa kawaida so long wamesoma na mewapambania kuwajengea bright future watapata tu wenzi...kua na janaume Hadi umeme anakupigia simu utume token kisa tu ni mrefu ,six packs, good looking and powerfully hands hapana jamani....
Nakazia
🤝🤝🤝
 
Back
Top Bottom