Kwenu Wanawake, upo tayari kuwa na mwanaume uliyemzidi umri?

Kwenu Wanawake, upo tayari kuwa na mwanaume uliyemzidi umri?

Huwezi kujua. Kuna vijana wana hela hadi kufuru. Huyo akikutaka advertise yake moja tu unaingia mzima mzima.
Sawa mengine naweza zidiwa
Lkn sio issue ya channel o, Kwa hapo abaki tu na Hela zake!! No way
 
gap kubwa nikama miaka mingapi?
Kuanzia 10 yrs hapana jmn
Kwangu mi naona siwezi
Maana wakati Niko 60+
Mwanaume ndo kwanza itakuwa kumekucha,na lzm atafute wa umri wake sa hiyo kukidhi mahitaji..
Hapa naongelea relationship ya muda mrefu km ndoa sio hizi za kupita
 
Kikubwa be a man kwa hiyo relationship, usitumie kigezo cha umri kama fimbo, kitu kidogo unaanza lawama, sijui unanidharau sababu umenizidi umri, mara unanidharau sijui sababu umenizidi pesa, ulifahamu hayo kabla hujaanza hayo mahusiano, You had a choice before dating matured woman...

Just love her, respect her, embrace her, let love flow...age is just a number if you know what it means...

Niko na shuhuda na mahusiano mengi tu ya wanaume waliozidiwa umri na wanasonga, wanaheshimiana na wanaanzisha familia, acha kuendekeza njaa...hiyo kitu inakata sana, Just be a man brooo....Gud luck!
Wewe umemzidi wako miaka mingapi? 1-5 naona sio issue, Ila ikiwa 15 mmmh!
 
Back
Top Bottom